Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

pole sana ndugu ukiona inakukera achana nayo angalia Chanel nyingine mbona zipo nyingi tu mi mwenyewe nikiangalia star TV na Chanel ten huwa nasikia kichefuchefu kwa hiyo ili kuepukana na hiyo adha nimeamua kuachana nazo
 
Anzisha kituo chako uweke ethics..NKT!!
Ukawa wasitangazwe wakishinda?au hujasikia na CCM?
 
Yan walafi Bn yan mmebebwa n.a. media km tbc n.a. startv ila bdo inawauma kwa Yule anayetenda haki! Itv inatenda haki sana in a mana km ukawa wameshinda sehem nying waogope kutangaza!!?
 
Huu ni ukweli mtupu. Reporting ya akina Sam Mahela inaboa sana. Wajifunze kutoka Azam News -very profesdional (sawa sawa na ccn, BBC n.k

ukifananisha azam tv na bbc au cnn ni kuvishushia heshima vituo hivyo. futa hiyo kitu akilini mwako. jana hamna cha maana wamefanya. sam mahela anatafuta habari kuliko maripota kumi wa azam tv. ana exclusive stories nyingi; ameongea na mkurugenzi NEC, Kova exclusively!
 
Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.

ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.

Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!

Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.

HsXd8zM.jpg

Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.

Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.

Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.

Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?

Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!

ITV naomba Mjirekebishe!

Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.
Mkuu katika hili napingana na wewe! ITV wamefanya kazi kubwa sana tena maana mimi ushindi wa CCM kwa majimbo kama musoma mjini,Kibaha,kisarawe,newala,ilemela n.k ni meyajulia kupitia wao! Mnyonge nyongeni haki yake mpeni!
Kwakweli wana stahili pongezi..
 
Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.

ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.

Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....
Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!

Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.

HsXd8zM.jpg

Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.

Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.

Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.

Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?

Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!

ITV naomba Mjirekebishe!

Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.​

ITV wamefanya kazi iliyotukuka sana. Sidhani kama unaelewa weledi wa Taaluma ya Habari.Nakushauri uwe unatazama TBC na STAR TV kama ndo unaona wanakuridhisha. ITV tuachie watu makini tuangalie !​
 
Hii picha ya Ripota wa ITV uliyoweka unataka kuwaaminisha watu kwamba Tshirt aliyovaa ni ya UKAWA ??? Umenoa. Hiyo ni Tshirt yake binafsi wala siyo uniform ya UKAWA. Iangalie vizuri !!!
 
Nasikitishwa sana na Mwenendo wa ITV.ITV imekuwa ikireport Mambo ya Uchaguzi kwa kipindi chote cha Uchaguzi, Lakini cha Kuumiza nakushangaza kituo hiki kutokuzifuata Taratibu, Sheria na Kanuni za Vyombo vya Habari (Media Ethics) hii imekuwa Tatizo kubwa sana kwa TV na Radio hizi za IPP.Ukitizama Report zinazoendelea kupitia IPP hakuna Balance Story hata Moja, Utaona Migogoro, Vurugu, Migomo, Matusi nk....Habari hizo ndio zimekuwa habari kuliko habari zakuwashibisha watanzania ukweli na kuwajuza uhalisia!Mfano tangu jana mpaka sasa nafatilia TV zote Nchini Sijaona ITV wamerusha Habari hata Moja ya Kata, Jimbo na Rais habari zote Nikule UKAWA waliposhinda na Sehemu za Migogoro. Aibu sana kwa The Super Brand.
HsXd8zM.jpg
Habari moja tu ya Report ya Tume aliyosoma Mwenyekiti wa Tume ndio ilizungumza CCM kushinda na Vyama vingine baada ya hapo Presenters wakarudi kujadili Migogoro na Shida zaidi.Emu Tizameni Azam Tv muone Mfano wa Reporting.Unapotoa Report uwe na Data na ufundishe watu sio uwaweke watu na kaswali yasiyo na Majibu.Watu wa TCRA mko wapi kutizama nakushughulikia maswala haya ya Vyombo vya habari vikivyi na Mahaba na Vyama na kupotosha Watanzania?Nchi itajengwa kwa Jamii yenye Maadili mema, na Maadili mema hutokana na kila akisikiacho na kukiona Mtanzania, kama leo hii vyombo vya habari kazi yao migogoro na kutokubalance habari jua hili ni tatizo!ITV naomba Mjirekebishe!Mzifuate Media Ethics ili Mfanye kazi ya Habari sio Mapenzi na Mahaba yenu.
wewe ulitaka isionyeshe ukweli kwamba fujo, migogoro na watumishi waliosimamia uchaguzi hawajalipwa mishahara yao. haya yote ulitaka wanyamaze halafu wakuonyeshe maeneo yaliyotulia pekee. angalia chanel yenu ya TBC inayojiita televisheni ya taifa sio lazima uangalie ITV
 
Back
Top Bottom