Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,795
Niaje dada yangu ππππ
Ata Leo muda ni nao wa kutosha dada yangu
Hebu jaribu kuirudisha
Naunga mkono hoja dada yanguLeo jumatatu
Week bado mbichi sana hii kaka yangu
Napendekeza iwe ijumaa usiku ama jumamos kwasababu jumapili binafsi nakuwa na maandalizi mengi ya kuianza jumatatu
Hahahahaha unanitegemea ktk nini tena ?Nakutegemea sasa ππ
Ni kushoshalaizi tu na wadauHili balaa,Siyawezi mambo haya
Hapana,wasosholaizi wengine mkuuNi kushoshalaizi tu na wadau
Hahahahaha...we hutaki kusosholaizi Mkuu ?Hapana,wasosholaizi wengine mkuu
Hapana....wanayoyafahamu kuhusu mie wabaki nayo hayohayo...no moreHahahahaha...we hutaki kusosholaizi Mkuu ?
Yani hiyo miguu yako inaonyesha tu wee ni mtoto Apple πNgoja nitaanzisha mie, tatizo maswali mengine magumu mnoπ₯΅
Hahahahahaha...ok kumbe wako wanayoyafahamuHapana....wanayoyafahamu kuhusu mie wabaki nayo hayohayo...no more
Yeah mengi sana...nadhani yanawatoshaHahahahahaha...ok kumbe wako wanayoyafahamu
Niliwahi kuwa mmoja wa Host wa hizi show pendwa sanaMiaka mitano hadi Saba iliyopita kulikuwa kuna "interviews" za wanachama maarufu hapa JF.
Ambapo wanachama wangemuuliza maswali "host"
Maswali mbalimbali kumhusu na "Host" anajibu vizuri tuu.
Siku hizi hazionekani tena.
Hii ilifanya Chit Chat ichangamke hasa siku za weekends.
Nini tatizo? Waendeshaji wamepotea au hakuna mtu anataka kujielezea mambo yake.
Yuko wapi DJ sepetu" muosha rungu"?
π₯΄sawasawa βΉοΈ@To yeye itafaana sana.
Heshima kwako Mkuu.Niliwahi kuwa mmoja wa Host wa hizi show pendwa sana
We muoga.sawasawa