Habari za weekend wanaJF Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu.... Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhost