GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,380
Sio lazima kujibu yote, unaweza kuomba kutokujibu.Ngoja nitaanzisha mie, tatizo maswali mengine magumu mno
Ya kijinga ndio yananogesha sasa 😅Ngoja nitaanzisha mie, tatizo maswali mengine magumu mno🥵
😂😂😂Ngoja nitaanzisha mie, tatizo maswali mengine magumu mno🥵
rudieni basiUmenikumbusha mbali...enzi zile JF haipoi
Muosha rungu alijitahidi kuchangamsha jukwaa....sijui alipotelea wapi
Muosha rungu live interview on johanah's show!
Habari za weekend wanaJF Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu.... Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhostwww.jamiiforums.com
rudieni basi
JF ilikuwa moto kweli,Umenikumbusha mbali...enzi zile JF haipoi
Muosha rungu alijitahidi kuchangamsha jukwaa....sijui alipotelea wapi
Muosha rungu live interview on johanah's show!
Habari za weekend wanaJF Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu.... Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhostwww.jamiiforums.com
ndio tupate kuburudika😂Hahahahh kweli?
JF ilikuwa moto kweli,
Tafuta host basi, urudishe hiyo kitu.
🤣🤣🤣👋Ya kijinga ndio yananogesha sasa 😅
ndio tupate kuburudika😂
can't waitIlikuwa poa sana...ilikuwa ni burudani fulani hivi na ilipunguza majungu,chuki na kuongeza furaha kimtindo mana hadi muda ulikuwa unapangwa ili wadau wajiandae na maswali
Hope itarudi hivi karibuni
Umenikumbusha mbaliUmenikumbusha mbali...enzi zile JF haipoi
Muosha rungu alijitahidi kuchangamsha jukwaa....sijui alipotelea wapi
Muosha rungu live interview on johanah's show!
Habari za weekend wanaJF Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu.... Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhostwww.jamiiforums.com
Mkuu,
Fanyeni kitu aise.GENTAMYCINE ulisema tuta fanya, naona still empty??
anzeni na dronedrake mwanaharakatiNampata wapi mie 😂
Hata huyo Muosha rungu iliwezekana sababu aliniambia nimfanyie