Zikiwa zimebaki siku 50 Mwaka kuisha, hii ni tathmini ya matumizi yangu kwa mwaka 2020.

Mkuu no 2, chakula imeniacha hoi au kuna sintofahamu
mpaka sasa umetumia sh. 2,100,000 miezi kumi kwa mwezi inamaanisha 210,000 kwa siku unakula sh. 700 kwa milo mitatu .. be serious
 
Hapa nilichofanya ni kununua cha kula in bulk, yaani unakuta nina mchele gunia, viazi kwa ajili ya chipsi, mayai tray kadhaa, sukari just to mention few..

Kwahiyo utaona gharama inapungua Mno
 
Still bado huwezi ukatumia sh 210,000 kwa wastani kwa mwezi ??... breakfast itakuwaje ? mboga itakuwaje? Navyo umeninunua in bulk??
 
Challenge accepted and noted, will counter check boss.
 
Mimi nilitumia jumla ya sh. 12,763,800/= kwa mwaka 2020
1. Chakula nilitumia 1,536,550/=
Hapa kwenye chakula kuna wakati mwingine nakula mgahawani na wakati mwingine napika,(kupika kunapunguza matumizi kwa kiasi kikubwa). Mara kadhaa nilipata "free lunch"
2. Shilingi 11,227,250/= ni matumizi mengineyo, yakiwemo:-
--- ada
--- mavazi
--- ujenzi na pango
--- shamba
--- sadaka na michango mbalimbali
--- nk.
Nawasilisha.
 
Hongera Sana Mkuu kuweza kutunza kumbukumbu ya matumizi yako.

Mimi kwenye matumizi yangu kuna wadau wamenishauri kuweza kuongeza matumizi upande wa starehe. Wanasema nimejinyima Sana 2020.

Mwaka huu 2021 nitajitahidi kuongeza kidogo eneo la starehe ingawa malengo niliyojiwekea nahisi yataninyima nafasi ya kutumia Sana fedha kwa starehe.
 
Ukitaka kupiga hatua nyingi zaidi kimaendeleo inabidi kupunguza starehe. Starehe zinapotoboa mfuko kwa kiwango kikubwa zinaweza kukurudisha nyuma na ukashindwa kutimiza malengo yako.
Wazungu wanasema "life is how you make it"
 
You are very right Sir.

Ni bora kuishi kwa kujibana ili malengo yatimie.

Imagine umeishi kwa kujibana ukafanya investment ambayo Ina generate faida ya 200,000 kwa siku, you can earn karibia 6M kwa mwezi. Hii ni profit kubwa ambayo inaweza kukusaidia wakati wako wa Uzee.

Huu ni wakati wa kujiandalia Uzee wetu
 
Back
Top Bottom