Zijue siri za mwanamme wa kweli

Zijue siri za mwanamme wa kweli

mwanaume wa ukweli ni yule anayejilinda na mimba ziszotarajiwa na maambukizi ya magonjwa asije mwambukiza mchumba au mke wake anapochepuka
 
ulipoanzia ndipo hapo hapo na pameeleweka... ur wife hapendi kutoka lakini hakuzii kutoka~anyway, kwangu hakuwa wife bali girlfriend so may be hakuwa na ubavu wa kunizuia na nilikuwa natoka but I would feel completely empty coz' ningependelea kuwa na yeye wakati yeye si mtu wa hizo issue! Kwa issue za wife wako, it's okay... kwanza sie wengine tunavyosema kutoka wala hatuna maana lazima tukacheze muziki but just being away from home... that's it... kama ambavyo unapoamua kulipa kwenda cinema wakati u can download the same movie and watch it with your chogo tv! So, kwa issue ya shemeji etu hapo... i like it, si mtu wa kutoka but she can do it for you!

Ok all the best kaka ukipata wa kuendana naye safi itakuwa na utakuwa na bahati sana mkuu ila pia ukipata mpenzi wako asiyependa hang outs ila unamuona mama bora wa wanao, mshauri wako na vigezo vingi akawa navyo basi mitoko ipotezee tu for the sake of " the good family" oa mengine yatanyookea huko ndani.

Settling for less might not be your desire but sometimes a bit of flexibility is advised
 
Ok all the best kaka ukipata wa kuendana naye safi iyakiwa ila pia ukipata mpenzi wako asiyependa hang outs ila unamuona mama bora wa wanao, mshauri na vigezo vingi akawa navyo basi mitoko ipotezee tu for the sake of " the good family".
No bhana... at least once a month... angalau kwenda kupata dinner nje ya home na ikiwa mfuko unaruhusu, basi zile classic major events sio za kukosa! Remember, CLASSIC major events... am not talking about issues kama Fiesta ya Clouds... kama ni muziki, basi muziki wa wastaarabu, mpo seated around the table huku mkishukuria rehema za Mwenyezi Mungu!
 
Mwanaume wa ukweli anatafuta mwanamke
ambaye anaamini kwamba kwake atakuwa bora
maisha yake yote. Mwanaume wa ukweli
anapomfuata mwanamke ambaye anaamini…
kwamba atakuja kuwa mke wake, basi kuna vitu
muhimu huwa anavifanya.
* Hawezi kumchukua mwanamke wake na
kumpeleka katika kumbi za usiku. Ukiona
mwanaume anakufuata na kukwambia leo twende
klabu fulani, jua kwamba wewe ni demu kama
mademu wengine, wewe si yule ambaye ataamua
kukuweka ndani na uje kuilea familia yake.
* Mwanaume wa ukweli hawezi kumwambia
msichana ambaye anaamini kwamba atakuja kuwa
mke wake eti wanywe pombe weee mpaka wawe
tilatila, mwanaume humuepushia mke wake
mtarajiwa vitu vyote vibaya, ila kwa demu wake,
mbona poa tu kama kawa wanakamua kwa
kuamini kwamba hata ukiendelea kunywa pombe,
hana habari kwani hautokuja kuwa mke wake.

Mbona kama unaongea kinyume chake kwa sababu uliyoyasema ni moja ya vipimo vya kujua mke bora. Nenda nae club halafu once or twice only uone atakavyo-behave; nenda nae bar once or twice halafu uone anavyopiga mitungi na baadae anakuwaje. Halafu, kule ambapo atasema hapendi ndio lazima uende naye ili ukajue nini ambacho hapendi!

Wewe bado kabisa haujaiva kwenye kuchunguza mwanamke wa kuoa!!
 
Haya mambo hayana formula kwakweli ni pasua kichwa kila watu na mfumo wao wanaoujua
 
sasa muda wote akae ndani tu? halafu mie nitoke na nani? yani wewe hata wimbo wa papii kocha sea hujausikia?
 
No bhana... at least once a month... angalau kwenda kupata dinner nje ya home na ikiwa mfuko unaruhusu, basi zile classic major events sio za kukosa! Remember, CLASSIC major events... am not talking about issues kama Fiesta ya Clouds... kama ni muziki, basi muziki wa wastaarabu, mpo seated around the table huku mkishukuria rehema za Mwenyezi Mungu!

Hapo saaasa tuko page moja son nakuhakikishai LADIES hayo ndio mambo yao sasa!!!
 
Tatizo sikuizi club nazo ni majanga.....zamani watu kwenda club na mkeo ni romantic moment maana its all about dancing twist...sio bifu,vurugu na uchafu kama sikuhizi.
 
Back
Top Bottom