Zijue sheria ''mama' za infidelity...

duh... hii kali,

Naomba kushauri bodi ianzishe vitengo vifuatavyo
capacity building and enrollment unit
kitengo cha logistics na information sharing:eek2:

Hapo kwenye red Fidel80 ndio mtaalamu kwenye suala hilo pamoja na kuwa ana cheo cha ushauri
 
Kabla ya kumpa hizo habari mpwa ungejaribu kutafuta daktari wa magonjwa ya moyo amfanyie uchunguzi maana wanawake wakipewa habari hizi wanakuwa mbogo wewe si umeona ndugu yake nyamayao revenge yake baada ya jamaa yake kukamatwa kizembe kwenye suala la INFIDELITY

Wanawake wote wanajua kuwa wume zao wana wanawake wengine....hapa wanachangia tu ili kujipa moyo! Kwani hawayaoni majogoo mtaani? kwani hayo hayakuumbwa na Mungu?
 
Wewe Ze Finest wewe......... am woning u ooh!! Nafanya maombi kumaliza infidelity... subiri tu, mtashanaa baiolojia zimekufa ganzi...:mad2:

Source pliz
Infidelity Social Club; August 2010 Journal page 23-26.
 
It is a common myth that only people who are living in an unhappy marriage engage in affairs.....hakuna ndoa tamu ukute 1 wao anajihusisha na infidelity...tena ngoja nije na dalili za infidelity
 
Umesahau sheria namba 13: Mara baada ya kufanya infidelity hakikisha UNAOGA na sabuni zisizotoa harufu- vile visabuni vya gesti kama GIV ni MARUFUKU kutumika baada ya infidelity

100% Nakubaliana na wewe. naunga mkono hoja mwenyekiti
 
Emotional intimacy/Ukaribu wa karibu wa kihisia – Do you find yourself sharing deep thoughts and feelings with a member of the opposite sex/kimada? Do you discuss details of your marriage and problems with your partner? .....Would you not want your hazband/mywife wangu to hear what you are saying?

Sexual tension/kuvutiwa na jinsia ya tofauti – Do you find yourself sexually attracted to another person and imagine being with that person in a romantic way?kumbuka huu ni udhaifu wako ambao....shetani wa mtu ni mtu mwenyewe

Secrecy/ Usiri wa hali ya juu– Do you leave out details of your day because they include spending time with the person you are attracted to? Do you lie to your spouse about this person? ....hi inatokea sana hasa maeneo ya ajira

THE SO CALLED INFIDELITY HAIKUBALIKI
 
Secrecy/ Usiri wa hali ya juu– Do you leave out details of your day because they include spending time with the person you are attracted to? Do you lie to your spouse about this person? ....hi inatokea sana hasa maeneo ya ajira

Inavyosemekana idadi kubwa ya watu wana mtu wampendaye wanapofanyia kazi. Na ukitaka umle demu ambaye ni mke wa mtu au demu wa mtu, kama unafanya naye kazi wewe msikilize tu kila atakacholalamika kwako kuhusu uhusiano wake. Usimbishie wala usimkosoe wala kumpa ushauri. Kubaliana naye kila kitu.

Mwisho wa siku atajenga emotional attachment kwako na utamla kama unalia vile. Na ndio maana cases nyingi za infidelity hutokea makazini kwa sababu watu wana spend muda mwingi sana pamoja hadi kuruhusu maongezi ambayo ni ya ziada.

Infidelity is inevitable. I know it is sad but it's the cold hard truth.
 
sijui hii ni sheria no ngapi, kwani naskia wanachama wengi wanaofanya kazi utumia lunch time kwenda kumaliza kila kitu, na ifikapo saa 12 jioni wapo majumbani mwao.
 
sijui hii ni sheria no ngapi, kwani naskia wanachama wengi wanaofanya kazi utumia lunch time kwenda kumaliza kila kitu, na ifikapo saa 12 jioni wapo majumbani mwao.

Hiyo sio sheria bana.......
 
Kwa hiyo ni vyema kama uko kwenye ndoa utarajie mwenzako kutoka nje ya ndoa yenu. Na hii ni kwa wote, wake na waume. Mke tarajia mumeo kumega nje na mume utarajie mkeo kumegwa nje.

Sasa kama wewe huwezi kuhimili adha za kadhia ya mwenzako nje ya ndoa yenu basi nakushauri usioe au kuolewa. Kama kwako hilo si jambo kubwa sana basi jua kuwa kuna wakati litakutokea tu. Likitokea unaweza ujue ama usijue, lakini kaa ukijua kuwa haliepukiki.
 
kwahiyo wewe unakubaliana na suala la mkeo kumegwa nje......? :confused2:
 
Inavyosemekana idadi kubwa ya watu wana mtu wampendaye wanapofanyia kazi. Na ukitaka umle demu ambaye ni mke wa mtu au demu wa mtu, kama unafanya naye kazi wewe msikilize tu kila atakacholalamika kwako kuhusu uhusiano wake. Usimbishie wala usimkosoe wala kumpa ushauri. Kubaliana naye kila kitu.

Mwisho wa siku atajenga emotional attachment kwako na utamla kama unalia vile. Na ndio maana cases nyingi za infidelity hutokea makazini kwa sababu watu wana spend muda mwingi sana pamoja hadi kuruhusu maongezi ambayo ni ya ziada.

Infidelity is inevitable. I know it is sad but it's the cold hard truth.

Well said NN it is true kabisa it does happen.
 
kwahiyo wewe unakubaliana na suala la mkeo kumegwa nje......? :confused2:

Ha Ha Ha Ha mjumbe bwana waht a question, hivi mumeo akimega nje inakuwaje utamuita umuulize halafu uingie kwenye sita kwa sita umuonyeshe how is it done
 
Back
Top Bottom