Zijue sheria ''mama' za infidelity...

Hata modes kumbe ni washabiki wa infedility wakati sisi tunapinga wao wanashangilia wamechomoa bango langu la kuonyesha madahara ya infedility

images
 
Nilikuwa napinga kweli INFIDELITY lakini siku yaliponikuta nikasema potelea mbali wenzangu wanafanya ufisadi napiga kelele wee hadi koo linauma nikasema isiwe taabu wacha na mimi niingie kwenye chama

Pole kwa kukutwa na hayo...! Lakini hii ni kukata tamaa...!
 
Hata modes kumbe ni washabiki wa infedility wakati sisi tunapinga wao wanashangilia wamechomoa bango langu la kuonyesha madahara ya infedility

Mkuu zile picha zingefanya hii thredi yote ihamishiwe kule ukubwani...
 
Leo nitakua off mpaka topic hii itakapofikia tamati, na walaaniwe wote infideletor wote!
 
Ngoja niwatafute wajumbe wa bodi kuja kujadili huu mswada kabla haujasainiwa

Mwenyekiti - Pope Kaizer
Katibu - St. Roya Roy
Mweka hazina - Big braza Asprin -ODM
Katibu mwenezi - Bigirita
Mshauri mkuu - Fidel
Wajumbe: The Finest, Masanilo, Dreamliner,Askofu,Kimey,Klorokwini,Maskini Jeuri,D5, Msanii, Dark City,Smiles, Beauty, bht,fanta,bacha,Jamii Forums, Acid,Teamo
Wajumbe toka kambi ya upinzani: Carmel. Nyamayao, MJ1,Mwalimu Gaijin, ZD,Shishi,Mom......na wote wenye mapenzi mema na infidelity.:welcome::welcome::welcome:

Ushindwe na ulegee polepole...
 
Kwa taarifa yako, mmeo ni mwanachama wetu hai!:welcome::welcome:

Kabla ya kumpa hizo habari mpwa ungejaribu kutafuta daktari wa magonjwa ya moyo amfanyie uchunguzi maana wanawake wakipewa habari hizi wanakuwa mbogo wewe si umeona ndugu yake nyamayao revenge yake baada ya jamaa yake kukamatwa kizembe kwenye suala la INFIDELITY
 
Ngoja niwatafute wajumbe wa bodi kuja kujadili huu mswada kabla haujasainiwa

Mwenyekiti - Pope Kaizer
Katibu - St. Roya Roy
Mweka hazina - Big braza Asprin -ODM
Katibu mwenezi - Bigirita
Mshauri mkuu - Fidel
Wajumbe: The Finest, Masanilo, Dreamliner,Askofu,Kimey,Klorokwini,Maskini Jeuri,D5, Msanii, Dark City,Smiles, Beauty, bht,fanta,bacha,Jamii Forums, Acid,Teamo
Wajumbe toka kambi ya upinzani: Carmel. Nyamayao, MJ1,Mwalimu Gaijin, ZD,Shishi,Mom......na wote wenye mapenzi mema na infidelity.:welcome::welcome::welcome:

duh... hii kali,

Naomba kushauri bodi ianzishe vitengo vifuatavyo
capacity building and enrollment unit
kitengo cha logistics na information sharing:eek2:
 
Mom mtu hawezi kuwa INFIDELETOR from no where lazima kuna sababu au jambo liliwahi kumkuta
Ungesema INFIDELEES ningekuelewa lakini kuwa INFIDELETOR ni mpango wa Mungu.

Angalia hata wanyama, midume yote ni mi-infideletaz! mwanaume hajazaliwa kwa ajili ya mwanamke mmoja! Take it from me!
 
Back
Top Bottom