Zijue sababu za Benjamin Mkapa kumuunga mkono Lowassa

Duuu, kazi tunayo coz tanzania yetu maajabu hayaishi. propaganda imechukua nafasi kwenye maisha yetu kwa % kubwa, ndiyo maana hata zinapoletwa hija za maana huwa atunaogopa. matukio yanatokea makubwa na yanayodidimiza uchumi wetu. Hawa atu leo tunaoaminishwa kuwa ni watu safi huwa wanakuwa wapi wakati taifa inapoingia hasara kubwa makosa ya viongozi wetu. Imefika mahali wananchi tumekubali kuwa kama taifa hatuna mtu aliye muhadilifu. Tulio nao wote ni wapiga deal japo wanazidiana tu viwango. very sad!!!!!!
 
very true ....sasa twende na lowassa akawawajibishe bila kificho.....
 
wengi hatujasikia live sasa vyombo vya habari vya hapa wamhoji wote tumeikie live ili watanzania nao watoe michango yao kuhusu mkapa
 
Ikiwa Dunia imesimama kwa mshutuko wa kumpoteza kiongozi shupavu Rais wa Zambia Marehemu Michael Chilufya Satta kilichotokea London mapema wiki hii , Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amekaririwa na kituo cha lunginga CITIZEN nchini Kenya kwa njia ya simu akihojiwa maswali mbali mbali baada ya kifo cha Satta, Katika mahojiano yake siku sita OKELLO kupata tafakuri ya Zaidi ya masaa 30 hadi sasa na kudhubutu kusema Lowassa ameungwa Mkono na Mkapa kwa maslahi ya Taifa , chama na Serikali. Zijue sababu za Mkapa kumuunga mkono Lowassa katika Tafsiri ya mahojiano yake na kituo tajwa.

1.EDWARD LOWASSA ANAUZIKA KWA WANANCHI.
Rais Mkapa aliangazia wasifu wa Lowassa bila shaka na kukiri ndie anaeuzika akiangalia utendaji na uchapakazi wa Lowassa na ndioa maana alinukuliwa aisema,"Chama kama chama lazima muwe na mtu anayeuzika na kukubalika katika jamii kwa utendaji wake, haiba yake, wasifu wake (ndani ya Chama na Serikali) lakini vile vile ushawishi wake.." ambae bila shaka ni Lowassa.

2. VIJANA WAJITOKEZE ILA NI WAKATI WA LOWASSA.
Hapa Mheshimiwa rais Mstaafu alionyesha kuwa chama kina kuza demokrasia pia na hivyo hazina ya vijana haipaswi kupuuzwa ila huu ni wa kati wa Lowassa na ndio maana hakusita kumtaja Lowassa pale alipo jitokeza 1995 na sasa ni wakati wake. Hivyo alisema "...Haya mambo ya umri na kadhalika sisi hatukutazama wakati huo ila si dhambi vijana KUJITOKEZA manake hata wakati wangu Rais wa sasa Mhe. Kikwete na kina Lowassa walijitokeza na LEO unaona Kikwete ndiye Rais" akimaanisha vijana wajitokeze ila Lowassa ndie Rais AJAE.

3.AKIRI LOWASSA HAKUNA WA KUMZUIA NDANI YA CHAMA
"...nikuhakikishie hata kama mimi Benjamin Mkapa siko na Kikwete mwisho wa siku wanachama ndio watakaosema wewe hutaki ila sisi tuachie huyo huyo...Na hayo yalijitokeza mwaka 2005 watu walimtaka Mhe Kikwete sasa mimi kuwa Mwenyekiti wa Chama hakunipi Mandate ya kushindana na walio wengi na mliona alishinda kwa asilimia kubwa kweli kweli.." HIVYO ni wazi hata Rais Jakaya hayuko kwa ajili ya kumzuia Lowassa bali kutimiza Demokrasia.

4.AONYA MAKUNDI YA URAIS NDANI YA CHAMA YANAYO MCHAFUA BILA SABABU.
Mheshimiwa Mkapa alirejea kauli ya Edward Lowassa February 7 ,2008 alipoonya wanasiasa kupakaziana siasa chafu hivyo nae alionya kwa kusema "Hivyo CCM Ina taratibu zake na wanajua nani anafaa manake siasa hizi...tuhuma zingine za kipuuzi kweli kweli...sasa mkiendekeza tuhuma mwishowe mnakuta mnabaki bila chama na kwenye siasa mkianza kushutumiana hakuna wa kusimama"

5.LOWASSA NI TUMAINI LA WENGI NA CHAGUO LA WENGI.
Amekishauri chama kuwa Lowassa ni tumaini la wengi hivyo cha kama chama wao watawekeza kwake na ndipo alipo yanena haya "Hakuna chama duniani ambacho kinaona kabisa fulani atatusaidia halafu kimwache -hakuna. Manake huko ni kukiua Chama...Naamini ndivyo ilivyo hata mpaka sasa tafiti zimefanyika na naamini wamesikia watu wakisema wanamtaka nani…wakati wangu mimi mgombea alikuwa amesha tungiwa nyimbo na watu mbali mbali wenye mapenzi nae. Hivyo labda hata sasa yawezekana kuwa hivyo…washwahili walisema nyota njema huonekana asubuhi"

MUNGU IBARIKI AFRIKA , MUNGU IBARIKI TANZANIA ,….SAFARI YA MATUMAINI KUELEKEA 2015.
Kuna msemo wa Kiswahili "Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba." Mkapa anajua kuwa Lowassa ni fisadi mwenzake kwa hivyo atamlinda. Kichwa cha mwizi huwa hakitulii akiogopa kuwa kuna siku atakamatwa. Mkapa ameuza nyumba za serikali kwa marafiki zake. Alijigawia Kiwira. Amefanya mengi ya kifisadi ambayo anajua ni fisadi mwenzake tu anayeweza kumlinda. Kwa hiyo haishangazi kabisa kuwa fisadi atamfagilia fisadi mwenzake.
 
wengi hatujasikia live sasa vyombo vya habari vya hapa wamhoji wote tumeikie live ili watanzania nao watoe michango yao kuhusu mkapa

Kila mahojiano yana sababu hapa Mkapa alikuwa akiongea kuhusu Satta mwandishi akamgusia.....
 
wewe tu ndo hutaki kuiona hiyo ''collocation'' greencty. maana maneno hayo Mkapa kayatoa alipokua akihojiwa na ktuo cha televsheni cha Citizen kuhusana na kio cha rais Satta. Na kwa kweli alchosema kuhusiana na ndugu Lowassa ni kitu ambacho ni hakika. Lowassa amekua ni gumzo kwa watanzania wakimtaka agombee urais maana wanatumaini naye kwamba atawavusha kutoka katika hali ya sasa ya hali mbaya ya kiuchumi,elimu mbovu,ukosefu wa ajira,tatizo maji na afyamaana ote huo wana uzoefu naye wa mambo makbwa aliyoyafanya katika nyadhifa alizowahi kushika

Hebu rudia, sijakuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna msemo wa Kiswahili "Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba." Mkapa anajua kuwa Lowassa ni fisadi mwenzake kwa hivyo atamlinda. Kichwa cha mwizi huwa hakitulii akiogopa kuwa kuna siku atakamatwa. Mkapa ameuza nyumba za serikali kwa marafiki zake. Alijigawia Kiwira. Amefanya mengi ya kifisadi ambayo anajua ni fisadi mwenzake tu anayeweza kumlinda. Kwa hiyo haishangazi kabisa kuwa fisadi atamfagilia fisadi mwenzake.

Mkapa was smart guy he run the country economically....chaguo la Mwl. Nyerere Ana upeo wa mbali na Kama mstaafu anajua mtu wakutuvusha... amesema haya kwa nia njema... si fisadi hakuwahi kuwa na tunamkubali...
 
Nimeiona somewhere jana lakini hakuna lolote la maana alilolisema. Alizungumzia Zambia na kifo cha Satta, na pia siasa za CCM.

Kwani ukweli ukiuona alafu ulikuwa hautaki kuusikia..

Unafikiri utakiri....
 
Nadhani hukumuelewa viZuri mkapa, Yule ana akili mara 100 ya huyo Lowassa wako ambae amekugeuza wewe Kama baamedi wake au muhudumu ambaye kila siku kazi yako kwenye mitandao ya kijamii nchini hapa ni kuuza kofia ya polisi.... Mkapa alikuwa na maana hii.... Watanzania msiwe wajinga kwa kuchagua mtu mgonjwa na dhoofu hali, mtakua mmerudia kosa walilofanya wazambia, Lowassa ni Kama Sata tuu..!! Nawasilisha...!!
 
👏👏👏💼💼

=> I always wake up in the morng, at the end of my prayer, mrng, afternoon and evening before sleeping, daily....
==> NAMALIZIA MUNGU MBARIKI LOWASSA...mrng

==> MUNGU MBARIKI LOWASSA....Afternoon

==> MUNGU MBARIKI LOWASSA....Evening

I am not just doing this, BCOZ I BELIEVE 100% HUYU LOWASSA HATA MUNGU ANAJUA...ATATUPELEKA NCHI YA AHADI....TANZANIA TUITAKAYO...NA MUNGU ATAJIBU MAOMBI YANGU..DALILI ZIKO WAZI...NAMUONA BABA LOWASSA KTK KITI KIKUU

==> Mungu ni mwema....Lowassa tuko nyuma yako..!!!

Back
Top Bottom