Uchaguzi 2020 Zijue sababu kuchelewa vikao Kamati Kuu ya CCM kupitisha Wagombea wa Ubunge

Sababu nyingine ya kuchelewa ni kwamba

Watakaokatwa wasiweze kwenda kwenye vyama vingine,kwani mchakato wa tume ya uchaguzi ya uchukuaji wa fomu utakuwa umeisha.
Kama ni hivyo, huenda hali ikawa mbaya zaidi! Waachwe wapate pa kupumulia
 
Wakikata kwa haki hakuna atakayebaki salama kwa maana asilimia kubwa ya wagombea wa CCM wametoa rushwa kwa njia moja au nyingine
Mimi nitabaki.sikutia hata 100 mbovu.na nilipata kura 3 za wajumbe.watia nia tulikuwa34.njombe mjini hiyo.ko nina imani na ccm mpya.
 
Hapa Kibaha Koka kachokwa na ametembeza rushwa ya hatari mno. Hana msaada katika jimbo wala kwa wananchi
 
Hapa Kibaha Koka kachokwa na ametembeza rushwa ya hatari mno. Hana msaada katika jimbo wala kwa wananchi
 
Majungu, weka picha!!!
 
Majina ya wagombea yatatajwa tarehe 23/8/2020 wakati wa kurudisha form za ugombea ni tarehe 26/8/2020.

Bonge la timing hakuna muda wa kukimbilia upinzani.
 
Tulikua tunasubiri vikao vya jumuia za chama kupitisha watia nia kugombea ubunge kupitia jumuiya hizo
 
Halafu mtu timamu kweli anaweza sema serikali ya CCM na TAKUKURU yake kweli wanapambana na rushwa!??
Mungu ndie anajua capabilities za TAKUKURU,lakini haiodoi mwana wa nyoka kuwa nyoka.
Serikali ya India chini ya waziri mkuuu Indira Gandhi aliweka TAKUKURU 6.
Ya pili hadi ya sita kuchunguzana lakini alikuta zote ni very corrupt.akazivunja zote 6.
 
Hayo ndio matatizo ya teuzi zenye strings nyuma yake.
 
TAKUKURU NI SAWA NA CHOO CHA SHIMO....UNA MAJI,GUNZI,KIPANDE CHA GAZETI AU HATA JIWE UTACHAMBA TU....UMBWA KABISA HAWA TAKUKURU! TAKUKURU INAWAJIBIKAJE KWA CCM ....WAPUMBAVU WAKUBWA HAWA TAKUKURU.
 
yule ataponzwa na external enemies of makonda ndiyo waliotoa hongo kwa wajumbe ili akatwe ndungulile hajatoa rushwa ia wajumbe wamekula rushwa hivyo makonda anapeta
Aaaah wapi!! mbele ya slow slow hakatizi! Labda yule mteuzi na mtetezi wake atumie turufu. Na hapo ndipo mpasuko wa kijani!! Jamani eti mkuu wa mkoa anataka ubunge...... sentesi hii unaikumbuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…