Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 386
- Thread starter
- #21
Umesema baada ya kila muda mliokubaliana kutoa kafara inahitajika sasa kama ulitoa ndugu au mtoto si wataisha wote na kubaki na upweke duh hatari kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio. Muda unaweza kuwa baada ya miaka mitano au miaka kumi, inategemea. Wengine wanatoa marafiki zao wa karibu. Someone who is very dear to you.