Zijue njia za kuwa tajiri au maarufu kwa kutumia nguvu za giza


gijos

gijos

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Messages
524
Likes
584
Points
180
gijos

gijos

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2017
524 584 180
Maisha Yana siri kubwa Sana katika utafutaji japo sio wote wanakuwa wazi kuwasaidia wenzao... Uganga upo na ukimpata mganga haswa fursa kwako za pesa zinakuwa rahisi mno pia matapeli wapo ambao ndio wengi mjini

Mwaka 2001 nikiwa na miaka 27 tayari nilikuwa na watoto 2 mkubwa alikuwa wa miaka4 na nilitoka familia duni Sana but nilisoma Hadi kidato Cha sita then nikarudi kijijini nikawa nafanya tempo ya kufundisha shule mbalimbali huku nalipwa posho, nilifanya hii kazi kwa mda Kama miaka 3 mpaka 2001 nilipoamua niende kuangalia nyota kwa mganga

Nilifanya kazi ya kumpepeleza mganga kwa usmart mkubwa Sana sikuwauliza watu tunaojuana nao, nilipenda kuzoea watu maeneo ya mbali kwa mda then nawachomekea, siku moja nikakutana na kijana wa makamo yangu akanielekeza akasema wapo wawili utachagua wa kwenda na ataweza kukutibu maana alijua naumwa, nikamwambia ndgu siumwi Bali natafta Mali akaniambia kama Ni hivo Kuna mtu hapa karibu tu anaweza..akanielekeza

Nikafunga Safari kwenda nakumbka ilikuwa ijumaa kufika pale nilitumia 10000/= kwa wakati huo nikakuta Kuna watu wengi mtu mwenyew simjui ikabidi nimuulize mmoja Kati ya walioko pale akanielekeza mganga mwenyew, nikamfata kwa sababu ya ugeni wangu moja kwa moja nikaaanza kumuelezea tatzo mm mwenyew badala ya yeye anipigie ramli, nikamwambia mzee Mimi nataka Mali nimechoka na umaskini na Mali hii isiwe ya kutoka kafara mtu, masharti yake yanihusu Mimi mwenyew, akasema inawezekana hiyo ni kazi rahisi njoo siku ya jumapili.

Jumapili nikarudi yule mganga Wala hakunichanja nakumbka alichoniambia nitoe noti ya 10000 moja, 5000 moja, 2000 moja na 500 moja akazisaga akanipa maji yake nikanywa then akanitengenezea dawa nikaoga nyingine akanipa niende nayo nyumbani niwe naogea then akanipa mtu wake niende nae kwangu akaweke dawa iliyokuwa kwenye chupa, tunaondoka wote tulipofika nyumbani wakachimba sehemu ya sakafu chumbani wakaweka ile dawa na wananiambia inabidi tufungue biashara hata NDOGO ili pesa ziwe zinapitia humo, na masharti niliyopew Ni kwamba mke wangu asiwe anasafisha sehemu ile iliyowekwa dawa akiwa kwenye siku zake na Mimi Ni marufuku kutembea na mwanamke wa nje ( kimada) sharti ambalo lilikuwa Ni gumu kwangu, na wait waliomba elfu20 tu, kwa kipindi hicho.

Ndgu yangu sitaki niseme uongo nilishika pesa kwenye biashara ya mkaa mpka nikawa nashangaa, mwaka 2003 nikajiunga chuo pamoja na watoto wakali wa kule lakini sikuwa na time nao kwa sababu na moja ya masharti yangu, nilipata pesa na nikafungua biashara mbalimbali nikapeleka watoto shule za kulipia, nikajenga nikanunua gari, baadae nikahamia dar na biashara zangu bado mambo yako fiti Wala sitamani demu wa nje now Nina 45yrs, mwanangu wa kwanza Yuko 3rd yrs university, na wengineo wote wako private school na maisha yule mganga alifariki miaka 5 iliyopita 2013 na tangu afe sijawahi kwenda kwa mganga mwingine lakini maisha yangu hayajabadilika... Nina Mali sitaki kusema Ni nyingi Sana but kwenda Norway holiday sio tatzo, kubadilishana gari kila mwaka sio tatzo na bussiness zinaenda bila kikwazo.

Waganga wapo but matapeli wapo zaidi, na uganga au pesa zipo bila hata kutoa kafara tatzo la vijana wakienda kwa waganga wanaeleza matamanio ya kupata pesa hata kwa kuuwa mwingine kumbe Kuna njia za kunyoosha mambo yako bila kumuathiri mwingine, Hivyo mnaotafta waganga tafteni kwa uangalifu waganga wa kweli wapo, japo wengi Ni waongo waganga wa kweli hawataki pesa nyingi.

N:B
Mimi Ni mwanaume msione Hilo jina ninalotumia mkajua ni mrembo flani hivi, Mimi warembo washanipiga limiti najilia mke wangu tu, nikiendaga sehemu za starehe naishiaga kuwashika tu na kuwatia vidole
QUOTE="wilbald, post: 24069174, member: 8592"]Wewe unafikiri ma vx yanapatikana kwa kusomea phd?[/QUOTE][/QUOTE]Wacha nife masikini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
E

E and E

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
480
Likes
338
Points
80
E

E and E

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
480 338 80
Siamini kama ulipewa masharti, Kitendo cha kukujenga kisaikolojia hasa kukukataza habari za vimada kulikusaidia kufanya serving ya pesa ambazo ungezipeleka kwa michepuko sasa ndipo biashara yako ilipata nafasi ya kukaa mpaka hapo ulipo,
Ukipata kimada wewe lala nae tu na huwezi kufilisika cha msingi endelea na kazi lakini pia ni kosa kisheria kuharibu noti zetu, inatakiwa upelekwa mahakamani.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,358
Likes
12,136
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,358 12,136 280
Siamini kama ulipewa masharti, Kitendo cha kukujenga kisaikolojia hasa kukukataza habari za vimada kulikusaidia kufanya serving ya pesa ambazo ungezipeleka kwa michepuko sasa ndipo biashara yako ilipata nafasi ya kukaa mpaka hapo ulipo,
Ukipata kimada wewe lala nae tu na huwezi kufilisika cha msingi endelea na kazi lakini pia ni kosa kisheria kuharibu noti zetu, inatakiwa upelekwa mahakamani.
Huyo jamaa ni muongo kishenzi,kwenye hii thread aliyoianzisha Hakuna kitu kibaya Kama umaskini - JamiiForums

Comment no. 5 yeye mwenyewe anasema hivi"Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve

Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu

Hawa matajiri wamefanyaje?"
 
E

E and E

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2017
Messages
480
Likes
338
Points
80
E

E and E

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2017
480 338 80
Huyo jamaa ni muongo kishenzi,kwenye hii thread aliyoianzisha Hakuna kitu kibaya Kama umaskini - JamiiForums

Comment no. 5 yeye mwenyewe anasema hivi"Hahahaha Yani Kuna vitu serious navipitia kwenye familia halafu mm ndo mkubwa nashindwa kuvisolve

Nimepoteza ndgu na jamaa wa familia sababu tu ya umaskini ya kukosa pesa ya kugharamia matibabu...nauchukia umaskini natafuta usiku na mchana lakini mambo ni magumu

Hawa matajiri wamefanyaje?"
Ni tubiashara tudogo tudogo ndo anachohusianisha na ushirikina, kwa hayo mafanikio madogo anasogeza kapata ni madogo kulinganisha na wachawi matajiri ajipange upya kutudanganya
 

Forum statistics

Threads 1,250,081
Members 481,224
Posts 29,720,333