brasy coco
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 1,489
- 896
Maneno yako Na avatar yako vinapinga kwa Kasi ya 4GTunachapa kaz na kaz zinachapika bila wasi usiendekeze ushirikara piga kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeifuma hii leo....Tutajie tu mkuu. Tujuze.
Umefuma nn kipya hapo mkuu?Nimeifuma hii leo....
Utaratibu wa Kumtupia/kumrushia KUKU Mahindi, na kutazama ama kuhesabu idadi ya Mbegu (Mahindi) atakayo kula.....
Hiyo ndio itakuwa idadi ya Umri/Miaka utakayo dumu kwenye UTAJIRI wako...!!
Baada/kinyume na hapa ni kuendelea kwa masharti na Makafara kutoka kwa Mganga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mimi kidole changu nikate? Au nioze? HaitokeiHahaaa sio chakula ndugu eti ulee tuu, ni dawa na masherti unayopewa Eg Kila mwaka unakata kidole kimoja ili biashara ikue..Unaoza mkeo anakusanya madudu kisha yanakua pesa..
Zipo za ainaa nyingi sana one day nitaelezea
ndio uko maskini, wewe ile ya kutoa kafara inakufaa zaidiTunachapa kaz na kaz zinachapika bila wasi usiendekeze ushirikara piga kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app