Zijue njia za kuwa tajiri au maarufu kwa kutumia nguvu za giza

Siku zote shetani hakupi jambo lake bila kumkufuru mungu tena kumkufuru kisawa sawa.... Hata kumfukia ng'ombe mzima mzma ni dhambi nzito tena kubwa.
hapo ujesha bado kuna proccess tele utapitia za kumkufuru mungu....daaah

Kwa kwel matajiri weng wana utajiri ila n watumwa wa shetani na majini ila kwa mungu hawana chao na mbaya zaidi huwa hawana aman wala furaha na mali zao
 
Mh. Rais anawatafuta nyinyi wala Ndagu kumbe mmejificha huku. Ukilishwa Ndagu omba risiti na ukimlisha mtu Ndagu toa risiti.
 
yaani tena imefikia kukuta mpk sms za kishirikina kwenye simu eti kibabu kinatoa tangazo la pesa kwa faida gani
 
Uganga,tiba za asili na matambiko ndio mila na tamaduni zetu za kiafrika zunguka dunia nzima kila sehemu kuna utamaduni wao.Japo katika kila tamaduni pia mbaya nazo zipo kama hizo za kuua watu ili ufanikiwe.Usisite kwenda kwa mganga wa jadi mambo yakikuelemea lakini awe wa kabila lako,maana mara nyingi matatizo yetu yanaendana na ikiukwaji wa mila na tamaduni.ni ushauri tu ukipenda chukua usipopenda acha.
 
Tutajie tu mkuu. Tujuze.
Nimeifuma hii leo....
Utaratibu wa Kumtupia/kumrushia KUKU Mahindi, na kutazama ama kuhesabu idadi ya Mbegu (Mahindi) atakayo kula.....

Hiyo ndio itakuwa idadi ya Umri/Miaka utakayo dumu kwenye UTAJIRI wako...!!

a1819be624a4b9500f448daeb7d0a9b3.jpg


Baada/kinyume na hapa ni kuendelea kwa masharti na Makafara kutoka kwa Mganga...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeifuma hii leo....
Utaratibu wa Kumtupia/kumrushia KUKU Mahindi, na kutazama ama kuhesabu idadi ya Mbegu (Mahindi) atakayo kula.....

Hiyo ndio itakuwa idadi ya Umri/Miaka utakayo dumu kwenye UTAJIRI wako...!!

a1819be624a4b9500f448daeb7d0a9b3.jpg


Baada/kinyume na hapa ni kuendelea kwa masharti na Makafara kutoka kwa Mganga...


Sent using Jamii Forums mobile app
Umefuma nn kipya hapo mkuu?
 
Hahaaa sio chakula ndugu eti ulee tuu, ni dawa na masherti unayopewa Eg Kila mwaka unakata kidole kimoja ili biashara ikue..Unaoza mkeo anakusanya madudu kisha yanakua pesa..
Zipo za ainaa nyingi sana one day nitaelezea
Yani mimi kidole changu nikate? Au nioze? Haitokei
Sasa hayo madudu yanakuwaje pesa na mm najua pesa hutoka bank kuu zikiwa na namba flani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya ng'ombe nimeipenda hebu nielekeze nije kufanya

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Shetami hatoi bure vitu vyake, Binadamu ni wa ajabu sana , maisha yenyewe haya kwa mwili huu wa ltripu shamba trip garage
 
Bora nife masikin,,,watu nnaowapenda haswaa na kuna hawa wawili wananikaa kichwani (S na K) ndio niwatoe kafara lo hapanaa
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom