Zijue njia za kuwa tajiri au maarufu kwa kutumia nguvu za giza


Mtanzania Mkenya

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
248
Likes
334
Points
80
Mtanzania Mkenya

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
248 334 80
Bora niishi maskini tu,hizo pesa za ndagu zinawatesa wengi sana,unakuwa huna uhuru nazo yaani..

post using my macbook air using jamiiforums app
Tufafanulie Ndagu mkuu. Naiskiaskia tu.
 
Bralicom

Bralicom

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
558
Likes
369
Points
80
Age
32
Bralicom

Bralicom

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
558 369 80
Njia nyingine ya kupata utajili ninayoitumia mimi ni kumwamini Yesu hii njia ni njia nzuri kwasababu unapata pesa nyingi bira masherti makubwa. Inamasherti madogo kama kusoma neno la Mungu na maombi pia kutokutenda dhambi kufanya kazi kwa juhudi kubwa. Kutopenda vya bure. Hii inatajilisha sana ikiwa unaipenda njia hii tuwasiliane

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia yako nzuri sana na mimi wacha niifanye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
issa mweusi

issa mweusi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
1,497
Likes
1,101
Points
280
issa mweusi

issa mweusi

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
1,497 1,101 280
True that

from kibiti
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
19,652
Likes
43,631
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
19,652 43,631 280
Hahaaa sio chakula ndugu eti ulee tuu, ni dawa na masherti unayopewa Eg Kila mwaka unakata kidole kimoja ili biashara ikue..Unaoza mkeo anakusanya madudu kisha yanakua pesa..
Zipo za ainaa nyingi sana one day nitaelezea
Ndagu wanakula wapi nipe nile ndagu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
8,777
Likes
2,977
Points
280
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
8,777 2,977 280
Ama kweli maisha hayaendi bila unafiki..japo simanishi mtoa mada...ila kuna watu humu wanachangia utadhani walizaliwa kanisani aise ..they are so much holy more than Christ himself lakini kwenye misiba ya watu wa freemason wanakuambia walikua among guest of honours
Hakuna atakayesema ukweli hapa. Upuuz na unafiki tu.

What goes around always comes around
mkuu mbona umepanic tena
 
Mtanzania Mkenya

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
248
Likes
334
Points
80
Mtanzania Mkenya

Mtanzania Mkenya

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
248 334 80
Acha nibaki na umasikini wangu tu huu utajiri wa hivyo wanini jaman mda wote hauna furaha we ni wasi wasi tu
Utakuwa na wasiwasi ikiwa hautimizi masharti.
 
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Messages
7,443
Likes
4,366
Points
280
Ng'wanapagi

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2013
7,443 4,366 280
Acha niishi hivi hivi kwani sijaona tofauti kubwa ya kimaisha na hao mashetani
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
8,090
Likes
6,213
Points
280
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
8,090 6,213 280
Ni mara kumi ule rushwa kuliko kufanya machezo ya ajabu

kama hayo
 
M

mloki

Senior Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
182
Likes
63
Points
45
M

mloki

Senior Member
Joined Jun 5, 2017
182 63 45
Huyo anae kataa kuahakuna pesa zauchawi huyo anakukatisha tamaa tena pengine anazo na hapendi usongembele kwani wapo wanaotoa utajiri na hata simbawanga pesa hizo zipo wapi zipo lakinii watu wengine wanajifanya walokole na wanafanya mambo yao usiku aumbali unapo muliza hatokuambia kwakua wanajifcha katka majumba yaibada wasijulikane ndungu uskate tamaa ulizia wazee wa takupa jbu siohao wahuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,263,097
Members 485,791
Posts 30,142,571