Zijue nchi sita tajiri katika Afrika wakati Pato la jimbo la California linazidi pato lote la Afrika

Siku Africa tukijitosheleza toilet paper ya kufutia mikundu yetu basi tutakua tunaelekea kwenye nchi ya asali
 
Hollywood na Silicon Valley.
Filamu
Muziki
Computer
Software
Google
Apple
WhatsApp
Facebook
Twitter
Na katika data ivi ulivyotaja vinachhangia asilimia 40 tu ya pato LA California ila mazao ya kilimo ndyo huachangia asilimia 52 ya pato lake
 
Hiyo ni purchasing price power (PPP), hiyo inaweza kuwa kipimo mojawapo cha ukuaji wa uchumi ila bado kina mapungufu.
Najuwa hata PPP inaweza kuwa na mapungufu lakini ni kipimo bora kuliko GDP.
 
China ni Nchi ya pili kwa utajiri duniani nyuma kwa usd trillion 5 kwa USA in nominal term.
But in real GDP,China ni namba 1 na USA ni 2 akiwa pungufu kwa USD trillion 3.
China ni uchumi mkubwa wa pili duniani kwa pato lao yaani GDP Ila bado ni nchi inayoendelea ndio maana haipo G7.
 
Samahani mleta mada, umeelewa nini hapo??????
The reality is that the annual GDP for California State is USD 3.5 trillion while the total annual GDP for Africa for the year 2022 is USD 2.9 trillion. So I don't think if it needs argument.
 
The reality is that the annual GDP for California State is USD 3.5 trillion while the total annual GDP for Africa for the year 2022 is USD 2.9 trillion. So I don't think if it needs argument.
a) California’s GDP measures over 7.5 times greater than the country with the highest GDP in Africa

b) The reality is that the annual GDP for California State is USD 3.5 trillion while the total annual GDP for Africa for the year 2022 is USD 2.9 trillion

Maelezo ya 'a' na 'b' yanafanana ??????????
 
Huelewi nini hapo sasa, GDP ya California inaizidi ya Nigeria mara 7.5 na wakati huohuo inaizidi pia ya Afrika nzima kwa ujumla. $3.5 trillioni kwa $2.9 trillioni. Please be informed accordingly.
 
Back
Top Bottom