Hii ni aibu kwa taifa, ni kwamba sisi hatuna akili au tumelaaniwa? Tanzania vs Singapore

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,352
Hivi ni kwamba sisi Watanzania wote hatuna akili au tumelaaniwa ? Maana mimi sielewi hebu tazama hapa chini⏬

TANZANIA:
Population = 61mln
GDP (nominal )= 83 Bln Usd
GDP ( PPP )= 227 Bln Usd
GDP per capita (nominal )=1,300
GDP per capita ( PPP )= 3,500

Vs

SINGAPORE:
Population=5.9mln
GDP(nominal)=515Bln Usd
GDP(PPP) =757Bln Usd
GDP per capita( nominal)= 91,100
GDP per capita(PPP)=133,800

AREA:
Tanzania
947,303km²
Vs
Singapore
734.3km²

NATURAL RESOURCES:
Tanzania
Apart from wealth in agriculture, forestry and wildlife land, Tanzania is also very rich in minerals such as gold, diamond, iron, coal, nickel, tanzanite, uranium and natural gas. Recently natural offshore gas deposits have been discovered.

Vs

Singapore
After early years of turbulence and despite lacking natural resources and a hinterland, the nation rapidly developed to become one of the Four Asian Tigers.

INDEPENDENCE:
Tanzania( Tanganyika + Zanzibar)
1961, 1964
Vs
Singapore(from Malaysia)
1965

Hivi jamani sisi tumerogwa au mbona hatujitambui wala kuona aibu ?
 
Hivi ni kwamba sisi Watanzania wote hatuna akili au tumelaaniwa ? Maana mimi sielewi hebu tazama hapa chini⏬

TANZANIA:
Population = 61mln
GDP (nominal )= 83 Bln Usd
GDP ( PPP )= 227 Bln Usd
GDP per capita (nominal )=1,300
GDP per capita ( PPP )= 3,500

Vs

SINGAPORE:
Population=5.9mln
GDP(nominal)=515Bln Usd
GDP(PPP) =757Bln Usd
GDP( nominal)= 91,100
GDP(PPP)=133,800

Ingelikuwa hizi takwimu umezitoa 2016-2021 uneona moto. Na ccm kitu wasichotaka kabisa ni kuona ukweli unawekwa bayana.
 
Hivi ni kwamba sisi Watanzania wote hatuna akili au tumelaaniwa ? Maana mimi sielewi hebu tazama hapa chini⏬

TANZANIA:
Population = 61mln
GDP (nominal )= 83 Bln Usd
GDP ( PPP )= 227 Bln Usd
GDP per capita (nominal )=1,300
GDP per capita ( PPP )= 3,500

Vs

SINGAPORE:
Population=5.9mln
GDP(nominal)=515Bln Usd
GDP(PPP) =757Bln Usd
GDP( nominal)= 91,100
GDP(PPP)=133,800

AREA:
Tanzania
947,303km²
Vs
Singapore
734.3km²

NATURAL RESOURCES:
Tanzania
Apart from wealth in agriculture, forestry and wildlife land, Tanzania is also very rich in minerals such as gold, diamond, iron, coal, nickel, tanzanite, uranium and natural gas. Recently natural offshore gas deposits have been discovered.

Vs

Singapore
After early years of turbulence and despite lacking natural resources and a hinterland, the nation rapidly developed to become one of the Four Asian Tigers.

INDEPENDENCE:
Tanzania
1961
Vs
Singapore
1965

Hivi jamani sisi tumerogwa au mbona hatujitambui wala kuona aibu ?
Mabadiliko yanaanza na wewe mwenyewe.

kusubiri yafanywe na mwingine ili unufaike au uinuke kiuchumi au kijamii, ni kujichelewesha mwenyewe, na matokeo yake ni huishia kulaumu, kulaani, kubeza na kunyoesheana vidole, hali ya kua tupo palepale hatujigusi wala kujitikisa tunasubiri tu kupapaswa...

Hii si sawa..
Ili kuendelea kiuchumi, kijamii na kisiasa lazima kuwajibia kuanzia wewe...
 
Hivi ni kwamba sisi Watanzania wote hatuna akili au tumelaaniwa ? Maana mimi sielewi hebu tazama hapa chini⏬

TANZANIA:
Population = 61mln
GDP (nominal )= 83 Bln Usd
GDP ( PPP )= 227 Bln Usd
GDP per capita (nominal )=1,300
GDP per capita ( PPP )= 3,500

Vs

SINGAPORE:
Population=5.9mln
GDP(nominal)=515Bln Usd
GDP(PPP) =757Bln Usd
GDP( nominal)= 91,100
GDP(PPP)=133,800

AREA:
Tanzania
947,303km²
Vs
Singapore
734.3km²

NATURAL RESOURCES:
Tanzania
Apart from wealth in agriculture, forestry and wildlife land, Tanzania is also very rich in minerals such as gold, diamond, iron, coal, nickel, tanzanite, uranium and natural gas. Recently natural offshore gas deposits have been discovered.

Vs

Singapore
After early years of turbulence and despite lacking natural resources and a hinterland, the nation rapidly developed to become one of the Four Asian Tigers.

INDEPENDENCE:
Tanzania( Tanganyika + Zanzibar)
1961, 1964
Vs
Singapore
1965

Hivi jamani sisi tumerogwa au mbona hatujitambui wala kuona aibu ?
Kutothamini elimu kama ilivyokuwa wakati wa Nyerere na hawa wote wanaoikandamiza elimu walinufaika na elimu ya wakati ule.

Kuzaliana bila kiasi. Watu hasa wenye kipato kidogo ndo wanaoa kila siku na kuzaa sana.

Hata wasomi wanaishia ndoa za mitala. Elimu elimu na maarifa ndo msingi wa maendeleo.
 
Back
Top Bottom