amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,369
Mkuu kusema ukwel majina ya hawa jamaa nashindwa kuyashika ila nadhan hii itakusaidia kuwatambua kama wewe ni mdau mkubwa. View attachment 159719
Shukran mkuu..huyo bidada anaitwa Bae Suzy,na huyo kaka ni Sung Joon na Yoo Yeon Seok..nawakubal sana wakorea