Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

6.Baada ya ku click itaconnect moja kwa moja kwenye BitTorrent na itakuletea menu yake, wewe unalotakiwa kulifanya ni kubonyeza button ya Add kama hivi
 

Attachments

  • 1400757738018.jpg
    1400757738018.jpg
    28.4 KB · Views: 288
Godzilla hii bado iko theatres, na Transendence..
nyingine kuna Son of God, Pacific Rim, Fast n furious ilikua 6 nadhani...
 
Hukumu Ya Ndoa Yangu ya JB na Shamsa Ford.Halafu kwanini wabongo hampendi vya nyumbani?????
Unamaanisha nipende ile movie jambazi anavua viatu kuingia sebuleni?
au mtu anapigwa risasi unasikia sauti ya bati, afu kelele "umeniua! umeniua!" haha tuache utani
 
7.Sasa umeweza itaanza kudownload movie yako.
Usihofu kuhusu speed ya download, kutegemeana na mtandao unaoutumia, mtandao ukiwa vizuri inakwenda mpaka 1.3-8Mbs
Hakikisha file unalolichagua kudownload linakua na seeder wengi
 

Attachments

  • 1400757984467.jpg
    1400757984467.jpg
    32.8 KB · Views: 270
yah ni possible, sijawahi tumia iphone, ila nadhan nenda store unapochukulia application za iphone, tafuta ki application kimoja kinaitwa BitTorrent fanya kuki install, then nenda kwenye browser unayotumia humo(nashauri opera) fungua page hii yify.torrent kupitia google, then utaona kuna movies mbalimbali, nenda kwenye sehemu ya kusearch andika movie yoyote unayoihitaji, then search, iki appear, download.
then ile bitTorrent italidaka file, wewe uta click add, then itaanza kudownload

Thanx mkuu naifanyia kazi.
 
...hivi hizo movi hazidawnloadiki mazee..
 
jamani kwa wanao2mia android nadhani hawaitaji muvi kuwa na size kubwa ka ivyo so njoeni kwenye application inayoitwa "any movie downloader"utapata muvi kali na mpya na size sio kubwa ni kama 150--200mb ila inabid uwe mwangalifu ili kutaka kuona quality nzuri chagueni kwenye option za "hbdr"au "wbdr" ila option za "cam"zina quality ndgo. iyo application inabid uigoogle na chagua option ilpo katika mobile9 zen uidownload mana playstore washaitoa.
 
jamani kwa wanao2mia android nadhani hawaitaji muvi kuwa na size kubwa ka ivyo so njoeni kwenye application inayoitwa "any movie downloader"utapata muvi kali na mpya na size sio kubwa ni kama 150--200mb ila inabid uwe mwangalifu ili kutaka kuona quality nzuri chagueni kwenye option za "hbdr"au "wbdr" ila option za "cam"zina quality ndgo. iyo application inabid uigoogle na chagua option ilpo katika mobile9 zen uidownload mana playstore washaitoa.

ngoja nifanyie kazi hilo
 
Movies nyingine nzuri za 2014 ambazo nimeziona ni
1. Seal team 8 (behind enemy lines) - hii ni ya kivita kati ya US navy SEALs na kikundi flani huko Congo msituni.
2. Ride along ( hii action-comedy ni nzuri pia. Star ni ice cube na kevin hart)
3. Tokarev (action- starring nicolas cage)
4. Jack ryan shadow recruit (hii pia ni action)
5. That awkward moment
6. Pompeii ( humu ndani yumo jack bauer).

Then kwa wanaopenda series ambayo ni latest ni 24 (season 9) ambayo mpaka jana ilikua imetoka episodes 4 kati ya 12.

hyo movie ya Seal team 8 ni nzur lakin mm binafsi nmetokea kutoipenda na kutoifurahia....... Ina base sana kwenye ubaguz wa rangi nyeusi inaonesha kama weusi hatuwez kupambana japo tulikuwa na siraha nzito kama smg, twelve, RpG na nyinginezo lakin wao ndio wanaonekana wanajua kutumia vizr siraha
 
1. hawapo makini katika kujenga uhalisia utakaowavuta watu wasahau kama ni maigizo ,mfano, unakuta mfano movie ni ya jini, jini hilo linavuka barabara linaangalia kulia na kushoto, tafsiri yake nini hapo, kwamba linaogopa kugongwa km binadam,haya jini au mzuka anapaka unga ina maana viumbe wabaya ni wabaya mpka sura?

2. Haya unakuta wakati mwingine wanajisahau, kuhusisha diologue na location,mfano; mazungumzo ya zamani labda miaka ya 1980 lakini ndani walimo kuna sofa na tv hii inatafsiriwaje? kuna mtanzania gani wa kawaida alikua na sofa na tv miaka ya 80, embu fuatilia movie za akina jumong au legend of the seeker kama utaoba hata kioo cha kujitazamia

3. Uhalisia katika uvaaji wa uhusika, unakuta msichana anaigiza ni wa kijijini lakini mwangalie kichwani alivyosuka nywele, unajiuliza hiv kweli kijijini kunaweza kuwa na salon zinazoweza kusuka namna hiyo?

4. Kushindwa kutumia taharuki na mtindo rejea( flashbacks) katika uigizaji, kawaida unapaswa kutengeneza filamu ambayo mtazamaji atakua anashindwa kuacha kuitazama kwani anakua na hamu ya kujua nini kitafuata baada ya tukio fulani kuisha but kwa movie za kibongo ukiangalia movie Dk10 unakua ushajua itaisha vipi

aisee yapo madhaifu mengi sana

umechambua vizr sana yaan sisi hatuwez kabisa tuko nyuma vibaya mno...... Hapo kwenye uhalisia hapo ndio zero kabisa.
 
kama unazijua IP MAN zote sasa kuna kitu kinaitwa THE GRANDMASTER(same story kama IP) inautulivu huo mzigo waweza zimia aiseeee
 
Tafuteni kitu kinaitwa IN THE BLOOD (2014) ni balaa kuna mwanamke anapiga wanaume ngumi.hatari, mume wake alitekwa angaingia msituni kumtafuta, ni ya huko kwa red indies, ngani kuna daniel trejo mzee wa machette, amour nolasco au maarufu kama Fernando sucre wa prison break
 
Hukumu Ya Ndoa Yangu ya JB na Shamsa Ford.Halafu kwanini wabongo hampendi vya nyumbani?????

mimi si mpenz wa bongo movie...bt niliambiwa kuna movie inaitwa Bado Natafut ni nzur niiangalie nitaipenda...kwel nilipoangalia ilinitoa choz...jamaa Gaboz anajua mnoooo kuact...yaan naomba kwa ambaye hajaiangalia aitafte then ataleta feedback hapa...shamsa pia i salute u madam...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom