dendizzo
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 966
- 1,345
mkuu asante sana sana umeitunisha library yangu leo thax
Pamoja sana mkuu.. Tutaendelea kupeana updates kadri ua uwezo.
mkuu asante sana sana umeitunisha library yangu leo thax
Pamoja sana mkuu.. Tutaendelea kupeana updates kadri ua uwezo.
Mkuu hii ni nzuri lakini nnayo nzuri zaidi halafu ni bure bila malipo yoyote. yani uwe tu na IDM unapata series na latest movies katika size ndogo, mxm 200MB. Ziko site mbili
Powa powa jana nilikua naangalia Legend of Hercules kuna mkuu mmoja ali imention humu, imetulia sana ndani kuna scott adkins mzee wa undisputed
Kweli imetulia sana, then Scott Adkins ana movie nyngine ya 2013 inaitwa ninja shadow of the tear. Kama hujaicheki itafute pia.
Dah kuna hizi aysee,waaacha kabisa
1. 2 guns
2. 13 sins
3. Broken city
4. Head Hunters
5. Ice Soldiers
6. Man of Steal
7. Reasonable doubt
8. Redemption
9. The cure
10. The outsider
11. Lone Survivor,
Kama ni mdau wa movie jitahidi uziangalie hizo yaani usiikose hata moja katika hiyo list
24: Live Another Day. tupo e04 now. just imagine a terrorist capable of controlling ten US drones flying over europe!tupieni na series jamani
sawa mkuu, halafu mkuu hiyo avatar yako huyo jamaa namkubali sana
Huyo jamaa anaitwa William Fichtner anabadilika sana ni kama kinyonga. Yupo kwenye Lone Ranger ila kama haupo makini unaweza usimtambue kabisa yaani.
mkuu lone ranger ni hatari eeh
Duh unazidi kuniongezea mzuka wa kupakua mavitu online kuna hii nyingine inaitwa PARKER?
The heirs(2013)&my love from another star(2013) nazikubal sana hizi
Pia the americans ni series nzuri kama wapenda mambo ya intelligence...!!
The heirs nadhani ndo the best of 2013. Nyingine niliyoikubali ni Gu Family Book ya 2013 pia.