Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

mimi si mpenz wa bongo movie...bt niliambiwa kuna movie inaitwa Bado Natafut ni nzur niiangalie nitaipenda...kwel nilipoangalia ilinitoa choz...jamaa Gaboz anajua mnoooo kuact...yaan naomba kwa ambaye hajaiangalia aitafte then ataleta feedback hapa...shamsa pia i salute u madam...

Kweli Unywele
 
Unamaanisha nipende ile movie jambazi anavua viatu kuingia sebuleni?
au mtu anapigwa risasi unasikia sauti ya bati, afu kelele "umeniua! umeniua!" haha tuache utani

Ha ha ha ha ha ndo bongo muvi hzo daah
 
Kweli Unywele ila ukitaka kumjua GABO kwamba yuko vizuri basi angalia filamu zake hizi mbili; MAJANGA ambayo amecheza na Dr.Cheni pamoja na JICHO LANGU.

Amani jua nitazitafta hzo movie...Then naomba kuuliza wadau...kuna Movie inaitwa Blood and Oil ni nzur bt km ingeendelea hv..coz meona vol 1 &2 au mlio iona mmeridhika na uishaj wake..?
 
Amani jua nitazitafta hzo movie...Then naomba kuuliza wadau...kuna Movie inaitwa Blood and Oil ni nzur bt km ingeendelea hv..coz meona vol 1 &2 au mlio iona mmeridhika na uishaj wake..?

Ebwa mimi cjawahi kuiona kabisa.
 
24.. Jack Bauer amerudi tena na kitu LIVE ANOTHER DAY... tamu saaaana... Safari mchezo mzima upo London
 
Mbona hamuitaji Ninja 2 ya Scot Adkins... Japo,wengi wameiona lakini siamini kama kila mtu kaiona.. Nayo ni,kali za 2014
 
Mbona hamuitaji Ninja 2 ya Scot Adkins... Japo,wengi wameiona lakini siamini kama kila mtu kaiona.. Nayo ni,kali za 2014

Unajua kuna Ninja zipo mbili na zote kacheza yeye kule japani si ndiyo?
 
Jaman kuna movie ya Lone Survivor hii movie kali sana kwa wale wenzangu wapiganishaji...... Imekuwa na uhalisia wa hali ya juu. Napenda sana pale jama anapo toa location na radio call. Hii picha nzur sana
 
Hivi ni kweli kwamba sisi hatuwezi kuigiza????? Ebu niambie umetumia vigezo gani kutoa hiyo conclusion mkuu??????

jambazi linavua viatu na lazma livae koti kubwa jeusi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom