Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

Zile movie za msituni mmoja anitajie znizitafute napenda sana kuziona wadau!!
 
Hercules ya Dwayne a.k.a The Rock

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Mkuu hii ni nzuri lakini nnayo nzuri zaidi halafu ni bure bila malipo yoyote. yani uwe tu na IDM unapata series na latest movies katika size ndogo, mxm 200MB. Ziko site mbili
mkuu IDM ndio nini na inapatikanaje?? nahitaji shule katika hili
 
mkuu IDM ndio nini na inapatikanaje?? nahitaji shule katika hili

IDM inasimama badala ya internet downloader manager, hii ni computer program au software ambayo inakuruhusu kudownload/kupakua vitu kama files za aina mbalimbali,videos/movies,documents,programs et al.
IDM inapatikana kwa kuitafuta kwenye mtandao inapendeza ukipata ambayo ni free/ya bure, au unaweza kumuomba mtu aliye na setup yake akakupa na keys zake.
Kama hujanielewa uliza mkuu
 
nashukuru sana mkuu kwa kunitoa ujinga katika hili. kirefu chake ni nini hasa, na kwa maelezo uliyonipa na tumai kua na uhitaji nayo wa weza nisaidia.?
 
nashukuru sana mkuu kwa kunitoa ujinga katika hili. kirefu chake ni nini hasa, na kwa maelezo uliyonipa na tumai kua na uhitaji nayo wa weza nisaidia.?

Mkuu kirefu cha IDM ni Internet Downloader Manager.
Au hujasoma vizuri nilipokujibu?
Mimi nakushauri ingia kwenye mtandao itafute kwa sababu binafsi saivi situmii computer kwa hyo sina mkuu
 
IDM inasimama badala ya internet downloader manager, hii ni computer program au software ambayo inakuruhusu kudownload/kupakua vitu kama files za aina mbalimbali,videos/movies,documents,programs et al.
IDM inapatikana kwa kuitafuta kwenye mtandao inapendeza ukipata ambayo ni free/ya bure, au unaweza kumuomba mtu aliye na setup yake akakupa na keys zake.
Kama hujanielewa uliza mkuu

Nlkua naomba kuelekezwa jins ya kudownload movie kwny cm
 
Wadau na wapenzi wa movie tuambiane na kusimuliana Movie tulizoziona, zitakazotoka miaka husika hapo juu.

Mimi naanza
1. 3 Days to kill(2014)
hii movie usiache kuiona ni kali balaa

2. 47 Ronin (2014)
Hii nayo ni balaa sana ni ya historia ya ushujaa wa ma samurai wa kijapani ila ni collabo ya mzungu na mjapani hapo star wa movie ni Kaenu Reevs, kwa mnaomfaham huyu jamaa kacheza movie nyingi kali kama Speed, The Matrix zote na hii ya juz juz Man of Tai chi(2013)

3. Robocop (2014)
ni nzuri kwa wapenda action movie

4. Ride Along (2014)
hii utacheka sana ndani yupo Ice cube pembeni yake kuna Kevin hart

5. I,frankenstein(2014)
hii nayo ni balaa sana humo ndani kuna kuchapana mkono hatari sana, ni movie nzuri ambayo hupaswi kuiacha kabisa star wa hii movie ndo yule aliigiza kama president of the united states kwenye Movie kali ya The Olympus has fallen

6.Lone survivor (2013)
Hii filamu ni tamu sana ina uhalisia wa hali ya juu uliofanywa na tecknolojia hali ya juu ya graphics, itafute kama hujaiona

tupieni movie nyingine hapo ili tuweze kuzitazama zile ambazo bado
Mkuu,kuna movie moja ina ikubwa wa 4.4GB.ikikamilika mara bittorrent inaniambia "File not found restart your torrent to resume downloads".Nimejaribu mara nyingi lakini tatizo liko palepale...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom