Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

Zijue Movie Mpya Kali 2013 na 2014

Ila hakikisha ume_install bitTorrent au Utorrent katika PC yako
Na kama utahitaji kudownload TORRENTS kwa kutumia IDM kwa haraka basi hapa utahitaji premium service ambapo utapewa 1000GB [yes 1 Terabite ya bandwidth kwa ajiri ya kubadili Torrent na kuwa direct link kwa cost ya tsh 10,000 [ Ndio elfu kumi tu ]Wasiliana nami kwa hii huduma.
 
Hv hii huduma huwezi kupata kwenye simu.napenda movies sana.
 
Mkuu hii ni nzuri lakini nnayo nzuri zaidi halafu ni bure bila malipo yoyote. yani uwe tu na IDM unapata series na latest movies katika size ndogo, mxm 200MB. Ziko site mbili

mkuu tuwekee hiyo site na sisi tu download tu enjoy kama wewe
 
I, Steve Nyerere - Hii ni sinema kali kweli kweli ya haka kajamaa kupewa uongozi wa ccm na anataka baadaye aje kugombea ubunge atutungie sheria.
 
Uliingalia on IMAX3D au normal theater? Maybe you are tired. So far ndio movie imeingiza pesa nyingi this year almost 1BUSD. Nangoja Guardian of the Galaxy on Friday!

Nadhani ni 3D ya kawaida..niliangalizia pale Quality centre
 
Nadhani ni 3D ya kawaida..niliangalizia pale Quality centre

Movie za siku hizi ukitaka kufaidi watch it in IMAX3D or RealD sijui quality centre 3D yao ni ipi. Najua Nairobi they have one IMAX theater sijui kama Dar wanayo! Umeona all the three parts before this one?
 
Mimi pia niliiangalia hii ndani BM basi kutokea Moro, nilitokea kuipenda japo waigizaji siwajui majina kwa sababu si mpenzi sana wa bongo movie.

Mkuu hata mimi niliiona hii muvi kwenye BM kutokea Moro tena siku hiyo ndo kulikuwa kuna gemu ya liverpool na chelsea.
 
Escape Plan 2013
Captain Philips 2014

yaani hii captain philips nimeiangalia jana kwa mara ya kwanza na leo usiku lazima niakirudie tena yaani kati ya movie bomba ambazo wamezicheza kiakili sana!
is best movie ni action mwanzo mwisho!!!
 
Swelter ya mjomba Damme

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
"paker "nimeangalia jana usiku
yumo JL imekaavema ila lazima niirudie
 
duuu move nyingi unatamani uitagute kila moja ila inakuwa ngumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom