Yombayomba
JF-Expert Member
- Aug 23, 2006
- 818
- 214
Kwenye issue ya Bin Laden, CIA waliuziwa taarifa na mmoja wa jasusi wa Marekani kwa donge nono sana. Ndio maana baada ya assassination hiyo, the Pakistan govt reacted fiercely kwa US na kukatokea timua timua.
Pale Pakistan hususan kwenye miji yao mikubwa kama vile Karachi, Lahore na Islamabad, kuna uwingi sana wa watu tena wenye fujo nyingi na mipango mingi sana haramu.
Lakini, kwa kiasi kikubwa sana wanadhibitiwa kupitia ISI na sio jeshi. Ila ni moja ya nchi za Kiislam yenye jeshi imara zaidi kuliko zote ktk ulimwengu huo. Wa kiislam.
Jamani hiyo Pakistan, naona kama vile too ggood to be true
Umesahau TISS
awwww bongo ni kama ya china na russia kazi yake kulinda serikali na chama ......yaaani mambo yanavyoendeshwa bongo hamna tofauti na urusi na china ...........ila it all depends nani kaandaa hii list ........wamarekani wanapropaganda sana
Mayahudi mnaowasifia mbona walishindwa kumkamata Hitler (supposedly escaped to Argentine by a submarine) na manazi wengine waliokimbilia sehemu nyingine, wengine as close as Egypt with protection of Muslim Brotherhood?
awwww bongo ni kama ya china na russia kazi yake kulinda serikali na chama ......yaaani mambo yanavyoendeshwa bongo hamna tofauti na urusi na china ...........ila it all depends nani kaandaa hii list ........wamarekani wanapropaganda sana
Dunia hii ina matatizo mawili tu;Banking crisis,na hawa mashushushu wakatili.
mi nataka kujua, double agents wanapatikana vipi. yani inakuaje unakuwa recruited kwenye secret agency mbili
Utuambie ww kwanza hao unaowasema walikamatwa na nani? na kama muslim brotherhood waliwaficha hiyo ndo sifa? Joseph Mengele (concetration camp masterminder) alijificha Brazil mpka kifo chake Mossad walijua ila hawakupata approval mapema ya kumuua mpka akafa ndo dunia ikajua kumbe kuna mtu kama huyu brazil list ya War criminal.waliouawa na Mossad sehem mbali mbali dunian unaijua? ni ndefu kias kwamba taifa la ujeruman lilimwandikia barua David ben Gurion (the then prime Minister) kumwomba Israel isiendelee na assasinations za raia wake ila waingie kwenye makubaliano maalum (Memorandum) hao wahalifu wote washtakiwe either German au Israel. Hakuna kusifiwa hapa tunaangalia facts ndo tunatoa assesment hakuna habar ya Mayahud wala Muslimbrotherhood hapa ni facts tu! ndo mana nikasisitiza pamoja na hayo yote pia wana weaknes zao lakini kiujumla wako on top na vigezo nikaweka na ww uweke bas!
Mossad is my number one from these facts.. Successfull carry out Operation spring of youth, operation Wraph of God, The capture of Adolph Eichman ( nazi war criminal ) in argentine, several succefull assasinations to masterminders they consider enemies of jewish state includin The dubai massacre (head of hamas military wing), Mohamed rantinsi (hamas chief), ali hassan salameh (munich masterminder), sheikh yassin assasination (hamas spiritual leadr), capturing of russian KGB data and share it with CIA on russian spyn missions against USA, breakin arab intelligence agencies and acquire their millitary secreats which enabled Israel supremacy during 1967 six days war, and 1973 Yom Kipur war.. Though wana weakness zao pia.
Hivi unajua kuwa ISI iko chini ya Jeshi la Pakistani? na mkuu wa ISI ana report kwa mkuu wa Jeshi la Pakistani Gen Kayani, ambaye pia kabla ya kuwa mkuu wa majeshi alikuwa mkuu wa ISI
ISI nao ni noma aisee nahisi katika waarabu anaweza kuwa ndo kinara maana ishu zao da ni za kuvulia kofia kabisa aisee.....
fafanua mkuu hapo