Zijue dalili kuwa Mkeo ameshakulisha limbwata la Kutukuka

1. Ukiwa mtaani unakuwa mbabe ila ukiwa Kwako na Mkeo unakuwa Mpole sana

2. Hupendi Ndugu zako kuja Kwako ila wa Mkeo unawalazimisha waje

3. Ukiwa unaongea na Ndugu zako huwa unakuwa na Hasira ila wa Mkeo meno yote 32 nje

4. Unasikia uvivu kwenda kusalimia Kwenu ila kwa Mkeo unatamani uende kila siku

5. Ukiombwa Hela na Ndugu zako unawaambia subiri hadi uzungumze na Mkeo Kwanza

6. Ukipokea tu Mshahara lazima utamwambia hata kama hajakuuliza

7. Ukiwa nae Kitandani unaogopa kumwomba Mbunye hadi akuambie Yeye

Je kwa dalili hizo hapo juu kuna mwana JF yoyote ambaye ni Mume wa Mtu zimemhusu kwa 100%?

ANGALIZO KALI.

Kuna wale wenye Mitandao mingine / Blogs zingine ambao mara nyingi sana hupenda kunivizia au kusubiri mpaka GENTAMYCINE nije na taarifa / jambo humu JamiiForums halafu wao wanaikopi kama ilivyo na kujifanya yao.

Leo nawaombeni mnapoikopi na hii pia basi fanyeni acknowledgement Kwangu na kwa Mtandao wangu huu pendwa wa JamiiForums kwani Vitendo vyenu vya kutumia Juhudi zangu kwa manufaa yenu huwa vinaniumiza na vinanivunja sana moyo.

Nawasilisha.

8. Ukiwa ushalishwa hii kitu haya yote hutakaa ujue kama unafanya/kufanyiwa mambo hayo yote 7 hapo juu
 
HII NDIO DAWA YA KUJITIBU LIMBWATA ULILOLISHWA

Chukua bangi gr5,punje 3 za bangi,nunua pombe kali alcohol isipungue 45vl 500ml,chukua ugoro gr20,sigara kali misokoto mi2,petrol au gundi ml500...baada ya hapo agiza peps kunywa uwai kurudi nyumban, maana ata nikikupa dawa utaenda kumwambia mkeo!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Ni mapenzi tu!
limbwata ndio nini?

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini nijadiliane naye ?
Kama hujadiliani ni sawa na wewe ndo sheria yako hata anayejadiliana sioni kama kuna ubaya. Mimi nimeshazoea hii baba na mama wanajadili na kupanga mambo kwa pamoja na hata bro naweza kumuomba hela akanitumia wifi sijawahi kuona shida
 
Acheni hizo kwani mkeo kukupa limbwata kuna ubaya gani wakati ana imarisha penzi lenu? unakufa? unagonjeka? asipo kupa mkeo Bar Maid atakupa!!! upo hapo? je watoto hawaja teseka? je utajenga? Utasoma kuongeza elimu yako hiyo ya Gumbaru?

Ke'' pigeni kazi hkn kuremba hapa!! hiyo ni mali yako halali.. lkn km unampenda!! ukilemaa siyo wako huyo! !! halafu midume mingine bana kaa minaniii... wewe unalindwa bure wanao wasome upate heshima ya kuwa mume bora, ujenge, uendelee kimasomo eti hutaki ulinzi!! tukupe nini Basha au?

Kazi ya mke ni ulinzi kina dada chapeni kazi, wakizubaa piga makofi akili iwakae sawa!!hakun atakaye kulaumu kwanza unamsaidia ni wako huyo!! amejimilikisha sasa wewe legea eti unaogopa thubutu!!!!!

mwanamke ukija kwangu unalia lia nakupiga tena ili ulie vizuri! msiwacheleweshe wapigeni kitu barabara mpaka wakae chini wakujengee wakusomeshe wewe na wanao! akileta za kuleta mpige chuma afe kabisaaaa! akuache pazuri na watoto!

Make amejipinga yeye mwenyewe!!! hakuna wa kukuuliza huyo ni wako! kwanza unamlisha, unamuogesha, unamuweka kifuani atakutisha nini? hata serikali haikuulizi wala mtu yeyote ni wako wa halali unaweza fanya unavotaka ubabe wa bure tu!!

tena km ana akili alitafute mwenyewe alete hataki akuache mapema kabla hajakutumia kuzalishwa mitoto yenye vichwa bapa shauri zenu mie naenda.....
 
Back
Top Bottom