Zijue athari za uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato

Kuamini mungu na kuamini uchawi kuna tofauti gani ya msingi?
Tofauti ipo, Mungu ni nuru, na uchawi ni mambo ya giza, hivyo kila mmoja aendelee kuamini anachokiamini, lakini ujue ipo siku utamuhitaji Mungu kwa machozi
 
Tofautisheni uchawi na Mungu ni vitu 2 tofauti uchawi ulikuwepo hata kabla ya kuja huyo Yesu Kristo na Mashetani yalikuwepo hata kabla ya kuzaliwa Yesu kristo. Hata ukiokoka kivipi Wachawi wakitaka kukudhuru hauna ujanja ukiwa wewe ni Muislam au Mkristo wachawi wana nguvu za giza wakikutaka hata kama upo mwezini watakupata jamani jifunzeni mupate kuelewa musibishe kichwa mchungwa kama huna elimu bora uliza na kuuliza sio ujinga. Ulizeni mupate kujibiwa. Mambo ya Uchawi na Mapepo wachafu aka (Mashetani) yametajwa katika Vitabu 2 vya Dini Biblia na Koran someni mupate kuelewa musilete mambo ya ulokole hapa wakati hamna elimu yoyote kuhusu uchawi.
 
Wewe unamtofautishaje mtu aliyeokoka na yule anayesema ameokoka na kumbe bado? Wewe ndiye unajidanganya. Hakuna shetani yeyote kati ya mashetani yako aliye juu ya MUNGU. Hilo sahau. Unajuae kwamba wanaokuja kwako mchawi, huku wakisema wameokoka ni kweli wameokoka? Unapima vipi imani zao kama ziko katika maneno yao?

Mzizi angalia. Hivi ni watu wangapi hat katika ulimwengu wako wa kichawi ama huu wa kawaida ambao wanajiita ni wachawi ama waganga lakini siyo? Wewe, wala shetani, wala wafalme, wala mamlaka wala utawala wowote hauwezi kubatilisha UKUU WA MUNGU KATIKA KRISTO YESU. NAOMBA USAHAU NA HATA SIKU MOJA USIJILINGANISHE NA KRISTO. KAMA VILE MCHAWI AMBAVYO NI LAZIMA AROGE, KRISTO NI MWOKOZI NA LAZIMA AOKOE UTAKE USITAKE.

Wewe cheza kwenye anga zako tu na hao unaowaweza lakini kamwe KIWANGO CHA KRISTO SIYO CHAKO WALA SI CH A HUYO SHETANI UNAYEMSIFIA!.
Hawa jamaa lugha zao hata sizielewagi
 
Vp umepata wateja wangapi mpaka sasa?
Sikuweka hii Thread kutegemea nipate wateja humu ndani mimi nina eleza madhara ya uchawi tujihadhari nao katika kila kabila au familia etu wapo wachawi mimi mwenyewe marehemu shangazi yangu alikuwa ni mchawi. Kwa hiyo ninawafahamisha watu kuwa unapo umwa na maradhi uende hospitali ukienda hospitali na kupima vipimo vyote yaani umepiga XRAY, umepima damu na umepima mkojo maradhi hayaonekani hapo mtafute mtaalam wa kienyeji apate kukupa dawa utakuwa umerogwa au una pepo mchafu nenda kwa Sheikh kam ni wewe ni Muislam au kama ni wewe ni Mkristo nenda haraka kwa mchungaji akakuombee ukifanya mcheo unaweza kufa huku unajiona shauri yako.
 
mi naitaji dawa ya kumkamata mwizi make wameniibia sana mpaka nachoka
Dawa ya kuwazuia wezi wasiweze kuingia nyumbani kwako tungika mlangoni Kitunguu Saumu wei hawata kuja kabisa katika nyumba au chumba unacho ishi itakuwa ndio mwanzo na mwisho wa hao wezi kukuibia nyumbani kwako.


Garlic – (Fire/Mars)

cooking.jpg


Aside from its cool factor of being sacred to Hekate and left as offerings for her at altars and crossroads, garlic is THE protection herb. Just having garlic in your house alone is believed to protect from robbery, disease, foul weather, ghosts, evil spirits, the evil eye, and magical attack. When carried on your person it is used to protect from monsters, storms, and physical or magical attack. I recommend using the skins for magical sachets and amulets as they smell much less than the fresh cloves. You can also used the dried, powdered garlic in your spice rack.

If you are under magical attack or dealing with a nasty ghost, you can line the bottom of your window sills and doorways with powdered garlic or cut open a fresh clove and rub it on all the entrances to your house. This is also believed to keep out thieves and is an excellent practice to incorporate into a house protection ritual. Hang braids of fresh garlic by the door and nothing’s getting in that you don’t invite and any witches working against you won’t have much luck.

In other bits of folk magic, garlic skins are burned indoors to keep money in your home, to remove negativity from your home (especially when mixed with onion skins), and to help alleviate depression and the evil eye. Whenever you burn something as seriously banishing as garlic in your home, remember to burn a gentle incense afterwards – whether it’s smudge or your favourite resin or herb. If you think you have the evil eye or are under magical attack, tuck a clove of garlic under your bed and also take a ritual bath with a garlic tea – boil nine cloves in water on the stove, strain, and pour into the bath. Folk healers use garlic to remove illness by rubbing a fresh clove on a wound or the body where the issue is, and then discarding it in running water or burying it at a crossroad

garlic-jpg.487742
 

Attachments

  • GARLIC.jpg
    GARLIC.jpg
    31.7 KB · Views: 272
Ni vizuri umekiri hakuna kiumbe anayeweza zuia uchawi zaid ya Mungu" kwaio viumbe wanaweza kutibu tu si ndio?. Maana mwisho umeandika kuna tiba.
Tiba ni kuwa karibu na Mungu zingine ni uzushi tu na kuibia watu hela.
Duh! Sasa watu watashindwa tumia dawa...kwa kusema mungu atawaponya! Kumbuka hata hizo dawa zimeletwa na M/mungu! Tumia dawa huku ukiomba m/mungu akuponye kupitia hiyo dawa halikadhalika na kinga pia!!!
 
Mtoa mada ni tapeli mtoa mada ni mtu asie faa hata kusalimiana nae,uchawi nini?uchawi unaishi wapi?uchawi unarangi gani?tafadhali watanzania tugawane kadri tunavo fahamu...cha kwanza uchawi haupo na haujawahi kuwepo uchawi ni kitu cha kufikirika tu lakini ukiupuuza hauna nguvu kwako.hivyo mtoa maada mada hapo juu mpuuzeni tu ni walewale wanao jiita wanatoa utajiri wa freemason yaani hao ni watu hatari mno.nimefanya utafiti w a kutosha nimegundua hakuna pesa za uchawi na wala freemason hawakuwahi kutoa pesa,na hakuna kurogana isipokua kinacho kudhuru ni hofu yako tu.amkeni semeni utapeli sasa basi kataa kurogwa na mawazo yako maana kinacho kuroga ni mawazo yako na si vinginevyo.acha ujinga.
 
Uchawi ni hofu yako uchawi haupo.na hiyo hofu yako ndio wanatumia kukulaghai niulize chochote 0756805540
Kabla hujasema juu ya kuokoka na kurogwa, ulitakiwa kujua kwanza kuokoka ninini badla ya kutumia nadharia usizozijua. Hakuna mchawi wala uchawi ulio juu ya Mungu. Mchawi kkumroga mtu aliyeokoka itambidi amroge Mungu kwanza ndipo amfikie mtu aliyeokoka.

Mchawi anatumia nguvu za shetani, aliyeokoka anatumia nguvu za Mungu. Nani ananguvu zaidi?

Inakubidi utofautishe kati ya hali mbili "KUOKOKA" na "KUWA NA DINI".

Ninasema hapa kwa sabbu ninahakika hujui nini maana halisi ya "WOKOVU". Na sijui nani amekuaminisha kwamba mtu aliyeokoka ni mbumbumbu asijue kwamba KUNA UCHAWI. Anayesema uchawi haupo, huyo bila shaka hajaokoka kwa sababu aliyeokoka hawezi kupingana na Biblia ambayo mara nyingi tu imesema habari juu ya uchawi na wachawi na haijawahi kusema kwamba uchawi haupo.

LAKINI HAKUNA UCHAWI KATIKA ISRAEL NA WALA HAKUNA UGANGA KWA YAKOBO.
 
Bado sita choka kusema hakuna uchawi
Uchawi? Nashindwa kuelewa mbona wasitengeneze hela au kuiba benki au kutokea dunian bila kuzaliwa..... Au wakifa wasioze km binadam wengine huwa ni mambo ya kuzuia tu..na hili ukilifikiria sana kwa undani halina ukwel ni just imagination ya watu ili kuwatisha watu wengine na hii inspiration za TV nazo dah.... Mungu tusaidie watanzania maana tunashindwa kusonga mbele tukihofia vitu vyisivyo na proof
 
Wachawi wako wapi?hakuna uchawi ukibisha njoo dm tukuelimishe.
Mzizimkavu mimi wote hao nimewaweka sehemu moja wanatumia nguvu za giza ,hakuna mzuri kati yao.Ila umekewepa swali langu la msingi kwako hujanijibu.Wachawi huloga kuleta matatizo,waganga huloga kwa kuwadanganya watu wanawasaidia.
" kama wewe unaweza wazidi wachawi nguvu,wewe nguvu zako asili yake ni wapi ni kwa Mungu au gizani? ".Sema ukweli mkuu,kuhusu hao unaosema wameokoka wanakuja kwako,kwa waliokomaa katika mambo ya Mungu hawashangai,watu wamejificha chini ya mwamvuli wa wokovu na kama ulishasoma biblia hao ndiyo "husema wanampenda Mungu kwa midomo yao lakini mioyo yao iko mbali naye".Hayo wanayokuja kwako ndiyo yale mambo watu wanafanya sirini ,wanapoteza muda,wamejificha kwa wnadamu lakini hawajajifisha kwa Jehova.
Neno la Mungu ni lazima litimie hao pia linatimia lile andiko "si wote wanaoniita Bwana Bwana wataingia katika ufalme wa Mungu."
 
Kabla hujasema juu ya kuokoka na kurogwa, ulitakiwa kujua kwanza kuokoka ninini badla ya kutumia nadharia usizozijua. Hakuna mchawi wala uchawi ulio juu ya Mungu. Mchawi kkumroga mtu aliyeokoka itambidi amroge Mungu kwanza ndipo amfikie mtu aliyeokoka.

Mchawi anatumia nguvu za shetani, aliyeokoka anatumia nguvu za Mungu. Nani ananguvu zaidi?

Inakubidi utofautishe kati ya hali mbili "KUOKOKA" na "KUWA NA DINI".

Ninasema hapa kwa sabbu ninahakika hujui nini maana halisi ya "WOKOVU". Na sijui nani amekuaminisha kwamba mtu aliyeokoka ni mbumbumbu asijue kwamba KUNA UCHAWI. Anayesema uchawi haupo, huyo bila shaka hajaokoka kwa sababu aliyeokoka hawezi kupingana na Biblia ambayo mara nyingi tu imesema habari juu ya uchawi na wachawi na haijawahi kusema kwamba uchawi haupo.

LAKINI HAKUNA UCHAWI KATIKA ISRAEL NA WALA HAKUNA UGANGA KWA YAKOBO.

Sio kila alieokoka haingiliki na nguvu ya kichawi,ukishaokoka kweli uchawi ni ngumu sana kukuingia kama ulivyosema,ila umeokoka na bado unahofu juu ya uchawi wewe utalogwa tu.
 
Back
Top Bottom