Zijue athari za kioo kiroho

Hata mzazi wangu aliwahi kutuambiaga kuwa kujiangalia ktk kioo wakati wa usiku ni vibaya/mwiko. Nadhani alikuwa anajua madhara haya uyasemayo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother Mshana Jr Kumekucha njoo tia neno hapa...wanaoishi kwenye nyumba za vioo vitupu sijui wanafunika nyumba nzima?

Vioo navyozungumzia hapa vyenye clear reflector ambavyo vina amalgram kama vile vya salun na bafuni sizungumzii vioo vya choo,milango,dirisha,kabati,tv,simu n.k

Usikurupuke kama hujaelewa thread soma mara mbili mara tatu uelewe ndio upate la kusema wengi mnapenda kuzungumza ujinga thats why u act like STPD

Rakims
 
Mithali 26:5 Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
Proverbs 26:5 Answer a fool according to his folly, Lest he be wise in his own eyes.
Acha utoto Rakims kuna watu ndani ya chumba kizima kuna vioo vya kujiangalia pande zote za kuta..........ndio maana nikauliza wanafunikaje?
Halifu sio kila kinachokudhuru wewe lazima kinidhuru na mimi....kwenye ulimwengu wa kiroho kuna imani tofauti tofauti usitake kuniaminisha cha kwako
kazi ya kichwa ni zaidi ya kufuga nywele na kushikilia masikio.Tumia vizuri kichwa chako.
 
Pia ukumbuke sio kila post lazima uchangie au uzifuatilie mwisho wasiku hii sijaweka kwa sababu yako mkuu nimeweka for education purpose la umeona haikufai au ni nje ya nafasi yako pitia pembeni na pia kama ulivyosema sio lazima kila mtu afate ya mtu mmoja umeona hayakufai kaa kushoto mkuu, usijifanye kujikinga kwenye maandiko hali ya kuwa nayo yanakufunga maana ungeuliza vizuri pia ungejibiwa vizuri

n.b
maandishi huwa hayaonyeshi hisia za mtu, still understand don't be stup*d mkuu, cause comment after this will prove you are stup*d so don't be...

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vioo vinawekwa kwenye kuta za bafuni kuna ambavyo vinawekwa kwenye makabati.. Huenda alimaanisha hivyo...! Amekuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulisoma huu mstari kabla hujaniita stupid?

kazi ya kichwa ni zaidi ya kufuga nywele na kushikilia masikio.Tumia vizuri kichwa chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…