[emoji3][emoji3][emoji3] kweli pombe siyo chai, sasa ni nini kinashindikana kufanyika bila hiyo chura, je hatotunza familia?, hatokupikia bila chura?Chura ndo kila kitu financial
Wife material bila chura ni sawa na jiko la gesi bila moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvutia tu si unajua kama pambo lipendezalo dunia au nyumba mfano maua tuyapandao majumban kwetu kuyaangalia ni faraja tosha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kweli pombe siyo chai, sasa ni nini kinashindikana kufanyika bila hiyo chura, je hatotunza familia?, hatokupikia bila chura?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] nimekuelewa, ila wenye chura wanavutia flani hivi,utaskia kijiweni mdada akipita utulivu unapotea kwa muda, ila akipita wa kawaida kila mtu yupo busy na mambo yake dah[emoji3]Kuvutia tu si unajua kama pambo lipendezalo dunia au nyumba mfano maua tuyapandao majumban kwetu kuyaangalia ni faraja tosha [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao vijana hawajui wanachotaka[emoji3][emoji3][emoji3] kweli pombe siyo chai, sasa ni nini kinashindikana kufanyika bila hiyo chura, je hatotunza familia?, hatokupikia bila chura?
Sent using Jamii Forums mobile app
daaah inamaana mimi sio super woman [emoji30]