Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,993
- 11,861
Mshana njoo WhatsApp tafadhaliUmbu jangu..!
Mshana njoo WhatsApp tafadhaliUmbu jangu..!
Inaelekea umekulia maisha ya shida sana, sasa unajisikia na kutaka kufidia machungu.Mi hizi ishu za marafiki huwa nazichukulia kama watu wa kupiga nao story, kwenda viwanjani, n.k na hapo kigezo kikuu ni kuwa level moja hasa katika uchumi, maana huwezi ukawa boss wa taasisi kubwa eti unamwona steve nyerere ni rafikijamaa anakuona ngazi tu, kwa hio ni muhimu sana uwe na marafiki hamjapishana sana, lasivyo moja atakuwa chawa, ataanza kuhisi unamnyayasa hata ukimpa msaada, ataogopa kukukosoa ili kulinda tumbo lake, n.k
Wachawi ni walimu wazuri sana wa somo la saikolojia wanajua sili nyingi kuhusu elimu nafsi akikwambia ktu kifanyie kazi lazima utapata feedback kukihusuFafanua ,Dada vua ,ongeza nyama





and i know you will never believe me ila fanyia kazi mabandiko yake hutaweza kutoka salama




Waja linapokuja swala la fursaa hawashindwi kituuuHaijalishi umri umekwenda kiasi gani kama una ndoto kichwani amka ukaitekeleze kwa sababu umri ni namba tu na uzee hisia tu. Haijalishi mashavu yamelegea kiasi gani ukitimiza ndoto watayabusu tu!
![]()


Kama Dangote mwenyewe OG anavyoliliwa na mademu wakali, Hawaoni jamaa kazeeka.Haijalishi umri umekwenda kiasi gani kama una ndoto kichwani amka ukaitekeleze kwa sababu umri ni namba tu na uzee hisia tu. Haijalishi mashavu yamelegea kiasi gani ukitimiza ndoto watayabusu tu!
![]()
Anhaste kushkuruASANTE MSHANA NMEBARIKIWA