Fakyuol
Senior Member
- Nov 26, 2023
- 142
- 313
Watu MASIKINI Wameundiwa Mfumo, Utakaowaongoza.
Ili wasivuke katika MIPAKA ya UMASIKINI wao.
Unasema nimejuaje?
Sasa Hebu Angalia…
Wakati wa zamani Wazungu waliigawa dunia katika Vipande vitatu.
1: Dunia Ya Kwanza (First World)
Hii Ni dunia ambayo waliazimia kwanza iwe na Mapinduzi ya Viwanda ( Industrial Revolution) Pili Iwe Ni dunia ya kuzalisha Bidhaa za Viwanda.
2: Dunia Ya Pili (Second World)
Hii Ni dunia ya Mabadiliko ya Kulimo Na Biashara . Ambapo walisema kuwa Hawa wazalishe Bidhaa za mazao . Uzalishaji Huu ufanywe wakisaidizana na dunia ya kwanza.
3: Dunia Ya Tatu ( Third World)
Walisema hii iwe dunia ya Watu MASIKINI, Na WATUMWA. wakakubaliana kwamba Hawa hawapaswi kuzalisha Bali wanapaswa kuwa waajiliwa wenye mishahara midogo. Hawa hawapaswi kuwa huru Bali wawe watumwa. Na hii dunia ya tatu ndio Afrika.
Tokea Hapo nchi zote zinazojitambua na kuamka kiuzalishaji hukutana na Mambo Mawili eidha Vita isiyokoma Kama Kongo au Kuuwawa kwa kiongozi wake Kama Gadalfi wa Libya n.k
Sasa Nadhani Hadi Hapo umefahamu Sasa ninachokisema. Kwamba Kuna MFUMO Fulani unafanya kazi nyuma ya pazia unaowafanya wengine wawe MATAJIRI na wengine wawe MASIKINI.
Sasa MFUMO unaoongoza MATAJIRI Ni Upi?
1:Kwanza MFUMO unaoongoza MATAJIRI Ni Ule MFUMO wa UZALISHAJI. Ikiwa na maana wametengenezewa Mazingira ya Kuzalisha. Lakini MASIKINI wamewekewa MFUMO wa Kuajiriwa.
2:Mfumo wa Kuthamini Vitu vyao. MASIKINI Tu Ndio waliwekewa Mfumo wa kutoheshimu vya kwao. NDIO maana so ajabu Kwamba Mwalimu wa mataifa Fulani analipwa Million 20 kwa Mwezi na kwa MASIKINI akalipwa Laki Moja Na Hamsini 350000/=
Au Katika Mtandao wa YouTube Malipo yake yamegawanyika kulingana na Nchi. Kuna Nchi Mtu hulipwa Dola $12.5 ambayo Ni sawa na (28,750Tsh) kwa WATAZAMAJI 1K, Lakini Kuna Nchi za MASIKINI Watu hulipwa Dola $0.97 sawa na (2,231Tsh) kwa watazamaji 1K . Je SWALI kwanini? Maana Yake Kuna MFUMO nyuma Yake.
Hadi Sasa baada Aya kusoma Mifumo inayoongoza Duniani Nilibaini kuwa. Haitakuja kutokea Mtu kutoka Tanzania aje Kuwa Tajiri wa kwanza Duniani.
Sio kwamba haiwezekani Bali Mfumo waliouweka unazuia.
Ukianza kuzalisha Sana wanakufungia soko Usiuze Zaidi.
KWANINI NASEMEA SANA HABARI ZA MFUMO
Kwasababu usipoelewa kuhusu Mfumo unaweza kupigana Vita Kubwa Bila silaha.
Nadhani Hata nikikuachia Hapo unaweza kuelewa Sasa MFUMO unaoongoza MASIKINI na Mfumo unaoongoza MATAJIRI.
Lakini Utakuwa Umeelewa namna ya kupambana ili kujiondoa kwenye Mfumo Huu wa kimasikini.
creditowner