Ziara ya Rais Samia nchini Kenya, Mama anakosea

Kuongezea hapa tofauti ya biashara ya Gas na mafuta ni kubwa, mafuta unachimba unazalisha halafu wateja wanakuja ila Gas kwanza unatafuta mteja ukishampata na kupata mununuzi wa kudumu ndio uzalishaji unaanza. ndio maana unaona pipeline ya UG itajengwa wateja baadae wa kununua crude ila Gas mteja kwanza project inafuata.
 
Hii kitu inafikirisha sana. Maana gesi kwa hapa Tanzania especially hii ya majumbani ipo so expensive. Mtungi mdogo ilitakiwa serikali kupitia mamlaka kuweka mazingira bei ya mtungi mdogo at least iwe 12,000 per refills. Mtungi wa kati uwe hata 25,000 then ule mkubwa kabisa ucheze kwenye 50,000.

Hiyo inawezekana kama tungekuwa serious na mikakati yetu. Sema sijui mchakato wa kuwapata watendaji wa serikalini wenye weledi huwa unaanzia wapi....
Ndio maana kasema LNG mradi uanze sio maongezi miaka 6 Gas ya sasa hivi inatoka nje LNG ikianza Lindi bei zitashuka sababu logistic gharama zake zitapungua sana.
 
Usemavyo ni kweli kabisa, Uhuru Kenyatta mjanja sana, tena amefurahi kakubaliwa hoja zake kirahisi sana, yeye ndiye alipaswa afanye ziara nchini kwa mazungumzo kwa sababu yeye ndiye alikuwa muhitaji.
Huyo Bibi SASHA yeye kaamua kukimbilia Kenya na ushungi wake bila kutizama athari zake kidiplomasia na kimkakati.

Kukimbilia Kenya kunamfanya ajichore kama dhaifu na mnyonge. Amejisalimisha kwa mafisi.

Kwa kweli nitakikumbuka kiburi-chanya cha Magufuli. Lile lijamaa lilikuwa chuma cha pua.

Hawa waswahili wamebaki kujidekeza tu na kumwaga makamasi.
 
Russia ndiye supplier wa gas yote ya Western Europe, na hilo halijaizuia RUSSIA kuzalisha bidhaa yake.

Na utajiri wa sasa wa Russia umetokana na bomba la gas anayouza huko Ulaya Magharibi.

Kijana ondokana na mawazo ya nadharia hasi za Mwendazake
 
Na huu mpango wa kujenga bomba la gas aliuasisi mwendazake

Pili gas ipo lakini hakuna viwanda vinatumia hapa Bongo sasa si bora iuzwe?

Ni uzwazwa kukaa tuu na kitu hakina faida kwako,eti viwanda vya Kenya vitazalisha kwa bei ya chini kwani vya Tzn vimekatazwa kutumia gas?
Watu wanashindwa kuelewa biashara ya Gas sio kama mafuta, ili kuanza uzalishaji kwanza kuingia na mkataba na mteja unajuwa huyu atanunua kwa miaka 30 ndio unaanza kuzalisha viwanda vyetu mahitaji yake madogo sana sasa huwezi kuanza uzalishaji mkubwa halafu matumizi madogo. Mama kasema LNG ianze ndio ujue Gas nyingi ya kuuza, LNG mpaka viwanda vya ndani.
 
Sio kwa wakenya ninao wajua mimi...... Yaani wao wakuache wewe ukafungue biashara kwao kule..... Labda Uganda sio kenya.....
Watz wako wengi sana nairobi kwanza pale gikomba. Si hiyo ni biashara?

Usituletee porojo hapa kwanza waganda wanawaona nyinyi kama wanafiki ndio maana wanatiririka kuja 🇰🇪
 
Hapana ndugu, huwezi kujilinda kwenye biashara kwa kufanya hivyo, sema unaweza kumpa bei kubwa kidogo ili faida ya ziada uipate kwenye gas , maana hapa tunatakiwa tumpe offer mbili moja ya Gas ghafi kwa kupitia hilo bomba au umeme tutakao zalisha kwa Gas etc , na kuusafirisha kwa hiyo high transmission cables .
Mengine sijasoma baada ya kuona ulakini kwenye hiyo point ya kwanza
 
Huyo Bibi SASHA yeye kaamua kukimbilia Kenya na ushungi wake bila kutizama athari zake kidiplomasia na kimkakati.

Kukimbilia Kenya kunamfanya ajichore kama dhaifu na mnyonge. Amejisalimisha kwa mafisi.

Kwa kweli nitakikumbuka kiburi-chanya cha Magufuli. Lile lijamaa lilikuwa chuma cha pua.

Hawa waswahili wamebaki kujidekeza tu na kumwaga makamasi.
Nimesoma Mkwawa na Magufuli yeye akisoma Maths na Chemistry na mimi Physics na Maths plus Teaching.

Mnamkuza sana Mwendazake siyo mtu mwenye akili kihivyo. Ni just average yaani can be a "C" student not "B".

Alichonacho yeye ni ujasiri tu wa kufanya mambo kinyume na kwa uharibifu. Hata alivyofukuzwa Makoko Seminary akiwa Form 2, ni kwamba alimuingiza Sista wa Kanisa Katoliki na siyo kwamba eti alivunka dirisha kama ilivyoripotiwa.

Tusimpime Rais SSH kwa kiwango cha Mwendazake, huyo alikuwa ni FAILURE na LAANA kubwa. Tumshukuru Mungu kwa kumfurusha mapema maana tungefika hata 2023, tungekuwa the WORST country economically
 
Naona umeandika ujinga tu. Ni kama kusema timu fulani tusiwauzie mipira watafanya mazoezi halafu watatufunga. Kwanini una mpira usifanye na wewe mazoezi ushindane? Ukizima mshumaa wa jirani wako ndio utaongeza mwanga?

Gesi iko kwetu nani katukataza kutumia? Uvivu tu wa kufikiri na zile 60% alizosema asad ndio zinazotusumbua.

Tunaweza kufanya vizuri kuliko Kenya ila lazima tuondoe wajinga bungeni ndio tutapata mawaziri competent. Mnachagua wajinga wengi inabido rais achague mawaziri katikati ya wajinga.

Chapili kuwe na katiba inayowajibisha watu na hii inaanza na wewe sio kulialia chukua hatua sasa.
Mkuu umenena vyema. Sasa hivi nchi yetu hatupo kama timu moja. Tunanyumba sana, yaani ni kama ule wimbo wa Juma Nature "MGAMBO WANARUKA NA KUKANYAGANA" Miluzi mingi ambayo haina HOJA (sababu) za msingi tuiache tutampoteza mama katika malengo yake. So far hakuna anayejua dateil za hiyo mikataba
 
Swali la kujiuliza, ni juhudi zipi zimefanyika kuhakikisha Gesi yetu imesambazwa kwanza kwa viwanda vyetu vya ndani na kutosheleza mahitaji yetu ya ndani??
Jibu ni rahisi sana, hakuna kilichofanyika. Hii maana yake ni kwamba Gesi yetu itawanufaisha zaidi Wakenya kuliko sisi Watanzania. Ni kama vile madini yetu ya Tanzanite yalivyoinufaisha Kenya na India.
Viongozi wa hii nchi sijui ni nani aliyewaroga. Hawana akili za kufikiri, hawana maono, hawana mwelekeo. Yule Mwendazake, unaweza sema labda, lakini na yeye alikuwa wale wale, mfano, kupoteza mabilioni kwenye midege isiyokuwa na faida.
Nionavyo mimi huyu SSH atakuwa Rais mbovu kabisa kuwahi kutokea kwenye historia ya Taifa hili. Tusubiri tutaona mengi. Time will tell.
 
Moyo unauma Sana, nchi hii inahitaji viongozi wazalendo kama alivyokuwa shujaa wa Afrika JPM.
Uzalendo gani unaongelea hapa? Hakuna watu walisambaratisha Taifa Tanzania kama watawala wa awamu ya 5. Ukabila uliwajaa, upendeleo wa wazi kwenye maeneo yao ya kuzaliwa ndiyo kipaumbele. Wa Tanzania siyo watu wa kuuawa kwa ajili ya tofauti ya itikadi

Mwendazake alikuwa ni LAANA
 
Tanzania iko mikono salama chini ya SSH. Ila Wasukuma wengi mulimezeshwa propaganda mbovu na mungu wenu Magufuli, hili litawasumbua Sana.

Mbona korosho tunalima Sana lakini tunakula 5% tu na nyingine zote wananunua akina Olam na Mohamed Enterprise s na kwenda kuzichakata na kuziuza Korea.

Kuna nadharia ya Adam Smith kwenye kitabu cha Wealth of Nations ya comparative advantage ndiyo inatawala biashara.
 
Kinacholalamikiwa ni viwanda vya ndani kunyimwa gesi halafu unaenda kumpa mtu wa nje, kwani ukatumia hata 1% tu ya ubongo wako, utapungukiwa na nini?
Kama ni kweli Azam na Dangote wamenyimwa gesi kutumia katika viwanda vyao alafu Leo hii wanapewa wakenya watumie katika viwanda vyao ni kweli hapo kuna tatizo
 
Back
Top Bottom