Ziara ya Rais Samia nchini Angola

Ziara ya Rais Samia nchini Angola

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Ziara ya Rais Dkt. Samia nchini Angola
 

Attachments

  • VID-20250411-WA0003.mp4
    36.7 MB
Huyo Rais alizuia kina Lissu... akija tutamuonesha hatumuungi mkono kwa kumzomea mwanzo mwisho!
 
Who cares! Kama sisi Watanganyika akili na sala zetu zote kwa sasa zipo kwa Rais wetu Tundu Lissu anaye nyanyaswa na wakoloni weusi, kwa sababu ya kuipagania nchi na watu wake.
 
Tusimlie tu MB 30 ni nyingi sana kumwangalia mwanamke muda wote huo.
 
Wastage of money pesa za walipakodi...hakuna faida itokanayo na mzururo huo!
 
Back
Top Bottom