ziara ya rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sammy Awami: Ziara ya Rais Samia Nchini Urusi inaweza kuwa inatuma ujumbe wa nia ya kuimarisha urafiki, uhusiano mwema na wa karibu

    Kuna masuala kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuelewa maana ya safari hii ya Rais Samia kuelekea nchini Urusi. Kwanza, hii ni safari yake ya kwanza nje ya Afrika tangu kuanza awamu yake ya pili. Lakini pia, kwa kumbukumbu zangu, inakuwa kwamba Rais Samia ni Rais wa pili tu wa Tanzania kutembelea...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Russia: Tanzania itapata nini katikati ya mashinikizo ya EU, Marekani?

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara nchini Russia inayotajwa kuwa na umuhimu wa kihistoria kwa Tanzania na inafungua hatua mpya za ushirikiano wenye manufaa kwa wananchi wa pande zote mbili. Samia anakuwa rais wa pili wa Tanzania kutembelea nchi hiyo, tangu Hayati Mwalimu Julius Nyerere...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Urusi: Kuimarisha Uhusiano🇷🇺🇹🇿

    Ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi ni sehemu ya juhudi za kawaida za kidiplomasia zinazolenga kuimarisha uhusiano wa kimataifa na ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kijamii kati ya mataifa. Tanzania imekuwa na historia ndefu ya ushirikiano na Urusi ambayo inaanzia enzi za...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ziara ya rais Trump pamoja kundi lake na hapo hapo Elon musk na mtoto wake.

    Ukifika malekani ukisikia neno mfia nchi au mzalendo basi ni jambo rahisi kuona kila nyumba ikiwa na bendera ya marekani. Nchi zenye kupenda watu wake zinaangalia utaifa na watu wake.Sio huku tanzania Amani labda za wanyama ambao hawa wezi kuuliza. Kuna mda unaweza kusema sisi ambao raia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa Kenya nchini China yaonesha nia ya Nchi za Kusini ya kuimarisha ushirikiano

    Jumanne wiki hii, Rais William Ruto wa Kenya aliwasili Beijing na kuanza ziara ya siku tano nchini China. Ziara hii inafanyika baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuanza “vita vya ushuru” dhidi ya dunia nzima, na Bw. Ruto ni rais wa kwanza wa nchi ya Afrika kutembelea China katika kipindi...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Angola

    Ziara ya Rais Dkt. Samia nchini Angola
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso Capt Ibrahimu Traore anatarajiwa kuja Tanzania January, 2025. Je, atatingisha jukwaa kama alivyofanya nchini Ghana?

    Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake. Natambua Watanzania siyo wafuatiliaji wa siasa za nje, ila naamini ujio wa Traore ukifanyiwa matangazo...
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Je, Ziara ya Rais Samia nchini Marekani inaweza kuinfluence uchaguzi utaofanyika novemba 5?

    Marekani ipo katika kipindi cha uchaguzi ambapo tarehe 5 watapiga kura kuchagua Rais wao. Iwapo atashinda kamala Harris atakuwa mwanamke wa kwanza baada ya miaka 200 ya uhuru wa nchi huyo kuwa Rais. Rais Samia yupo marekani kama mzungumzaji katika mjadala wa kimataifa wa chaķula huko Iowa...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania "Ujana Dume wako uko wapi?" Rais Samia ahoji maswali mazito watendaji wanaokalia kimya upotoshaji unaoendelea mtandaoni

    Siku chache tangu zisambae picha mtandaoni kwamba kuna wagonjwa wanapelekwa hospitalini kwa kutumia matenga huko mkoani Ruvuma, Rais Samia jana ameamu kujibu mapigo. Akiwa anahutubia jana huko mkoani Ruvuma Samia alisema kuwa anasikitishwa na baadhi ya watendaji wanaokaa kimya pindi taarifa za...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesi ya Sukari Mahakama Kuu yamzuia Bashe kwenda China ziara ya Rais

    KUNA tetesi kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ameshindwa kushiriki ziara ya Rais Samia nchini China kutokana na kukabiliwa na Kesi ya Rushwa na Uhujumu uchumi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kashfa ya utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Morogoro imefana sana, CHADEMA njooni mbomoe hii ngome ya CCM

    Nimefuatilia ziara ya Mh Rais Samia katika mkoa wa morogoro kwa umakini hii ziara imefana na hii ni kutokana na hulka ya rais samia kutokuwa mtu wa makeke na kuharas watumishi wa uma ambao kwa hapo morogoro wanamuunga mkono sana. Rai yangu kwa Chadema rais akindoka njooni Morogoro. Lissu aje...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya Ziara ya Kihistoria Mkoani Katavi Julai 12-15, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Ni historia,ni furaha na tabasamu,ni heka heka na chereko,ni shauku na kiu kubwa sana iliyojaa katika mioyo ya wana Katavi ambao wameripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kupata taarifa ya ugeni mzito na wa kihistoria ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu...
Back
Top Bottom