Jamani mumuwache Rais wetu afanze kazi,
Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.
Alichakachua matokeo ili atuletee maendeleo, na hiyo fedha hatoi mfukoni mwake, ni fedha yetu, ni kodi zetu kwahiyo usijishebedue bure hapa. Kwa Arusha mtaisoma namba kwa sana...
Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.
Inaguration ya mandela university ni tarehe 2Nov,2012 siku ya ijumaa mnakaribishwa wote,na mgeni rasmi ni Mh.Rais Jakaya Mrisho KikweteLeo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.
Msoga bhana akikosaga lakufanya huzurulazurula tu........
Arusha,Mbeya na Mwanza si salama kwa uhai wa rais.Chuki za watu mitaani ni kali sana watu wanasema wazi anakuja fanya nini si amalize muda wake hukohuko kwa waswahili wenzake.
Kweli JK kiboko, leo mtandao mzima wa JF wanamuongelea kuhusu ziara yake arusha na jinsi alivyo jipanga kwenye ziara hiyo kwa nia yakuwaletea wananchi wake maendeleo. Go go go JK , bakora unazo wapiga cdm sasa twaziita bakora za chuma wanalia na kuweweseka kila sehemu na pande za nchi zote