EMMANUEL NSAMBI
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 402
- 83
Ratiba yake ilikuwa kwamba,Leo azindue chuo cha Nelson Mandela kisha ashiriki mazishi ya aliyekuwa mpishi
wa ikulu arusha ambaye amezikwa leo kule makaburi ya njiro halafu arudi dar.Kesho atakuja tena Arusha
na atazindua jengo jipya la NSSF karibu na new Arusha hotel na baadae atakwenda pale mnara wa mwenge
ambapo atazindua rasmi jiji la Arusha.Baada ya hapo atakwenda kuzindua jengo jingine la NSSF pale round
about ya Florida na baadae atapita na kuzindua barabara inayotoka florida kupitia Arusha Lutheran Medical
centre kisha atarudi Sheikh amri abeid stadium kuzungumza na wakazi wa Arusha.