Ziara ya rais Kikwete Arusha yaahirishwa?

Joined
Oct 13, 2012
Posts
11
Reaction score
1
Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka.

Mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.
 
Hata mm nimemuona ila cjaelewa au ni mambo ya kiusalama
 
Sasa wewe umejuaje kama ameahirisha wakati hujui chochote.Acheni kukurupuka kwanini usisubiri ndo uje na habari ya kueleweka.
 
Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.

Kweli JK kiboko, leo mtandao mzima wa JF wanamuongelea kuhusu ziara yake arusha na jinsi alivyo jipanga kwenye ziara hiyo kwa nia yakuwaletea wananchi wake maendeleo. Go go go JK , bakora unazo wapiga cdm sasa twaziita bakora za chuma wanalia na kuweweseka kila sehemu na pande za nchi zote
 
ye aende tu msoga, arusha anafuata nn??
 
Kweli JK kiboko, leo mtandao mzima wa JF wanamuongelea kuhusu ziara yake arusha na jinsi alivyo jipanga kwenye ziara hiyo kwa nia yakuwaletea wananchi wake maendeleo. Go go go JK , bakora unazo wapiga cdm sasa twaziita bakora za chuma wanalia na kuweweseka kila sehemu na pande za nchi zote
Inaoneka kawahi kumchapa hata mkeo na bakora yake maana hicho ndo anachokijua hii ya maendeleeo huwa anawapelekea waarabu sio hapa Arusha...So Ukome kabisa
 
Kweli JK kiboko, leo mtandao mzima wa JF wanamuongelea kuhusu ziara yake arusha na jinsi alivyo jipanga kwenye ziara hiyo kwa nia yakuwaletea wananchi wake maendeleo. Go go go JK , bakora unazo wapiga cdm sasa twaziita bakora za chuma wanalia na kuweweseka kila sehemu na pande za nchi zote

Alichakachua matokeo ili atuletee maendeleo, na hiyo fedha hatoi mfukoni mwake, ni fedha yetu, ni kodi zetu kwahiyo usijishebedue bure hapa. Kwa Arusha mtaisoma namba kwa sana...
 
Labda amealikwa USA kuangalia madhara ya kimbunga sandy
 
Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.
Mwanaasha amepatwa mafua ghafla, anaenda kumwona then atarudi kukifungua hicho chuo
 
sasa si atakuwa anapanda ndege kwenda Arusha, unashanga nini hapoooooo

Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.
 
6a00e54f837cba88340120a95fb7fb970b-320wi
mayergirlsatOmiyaAnyimacamp2.jpg

Kweli JK kiboko, leo mtandao mzima wa JF wanamuongelea kuhusu ziara yake arusha na jinsi alivyo jipanga kwenye ziara hiyo kwa nia yakuwaletea wananchi wake maendeleo. Go go go JK , bakora unazo wapiga cdm sasa twaziita bakora za chuma wanalia na kuweweseka kila sehemu na pande za nchi zote
 
sasa si atakuwa anapanda ndege kwenda Arusha, unashanga nini hapoooooo

mkuu waifaham arusha au wajiropokea? Kutoka KIA mpaka arusha town ni km 44, sasa alipanda hyo ndege kwenda arusha ipi?
 
Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro sasa hivi tayari kwa kuondoka mwenye taarifa atujuze jamani amemaliza hayo majukumu au kuna kitu kimetokea kimemlazimu aahirishe baadhi ya kazi.Nawasirisha.

Sijui, ila mpaka sasa huku Arusha kuna gari la matangazo wanatangaza kuwa kesho ndo JK atazidua Jiji la Arusha, na sherehe zitafanyikia katika uwanja wa makumbusha ya azimio la Arusha.

Yawezekana ni ratiba tu imebadilika, au atamtuma mtu mwingine badala yake. Tusubiri kama tutasikia matangazo ya kuahirisha basi tutawajuza.
 
Back
Top Bottom