Ziara ya Hillary Clinton kuja: Picha na Matukio

Ziara ya Hillary Clinton kuja: Picha na Matukio

Kama hamufahamu kaja kushindilia msumari wa mwisho wa Symbion . Nasikia wajamaa wamekataa kutoa 10% Asante sana Anko sam (USA).
 
Mama Clinton ana umeme na nyie mlioko Tanzania na ndugu yetu ndio wenye mgao hivyo badala ya kumpiga madongo huyu mama ni lazima mjiulize je Marekani imefanya baya lipi hapa? na serikali yetu imefanya lipi zuri?
 
Ni matokeo ya siasa za kijamaa everything ni sensitive issue na negativity zilizojaa. USA anataka kutusaidia tuondokane na ufukara unaosababishwa na wachache ila kwa wengine conspiracy theories zinaanza. mweh miafrika ndio tulivyo sisi!!!!
 
Kama hamufahamu kaja kushindilia msumari wa mwisho wa Symbion . Nasikia wajamaa wamekataa kutoa 10% Asante sana Anko sam (USA).
Nifafanulie huyo Anko. Sam ni nani? Alifikiri ni waarabu hao? Wao wanafanya project analysis na hawataki ubabaishaji.
 
Going by history nchi zote ambazo zimekumbatia wamerekani wameishia kuchapana wenywe kwa wenywe, huku amerika wakivuta rasilimali taratibu

Tusubiri ya kwetu yanakuja,
 
Kelele za Richmond na Dowans Zimeshatushinda!Imekuwa ngoma ya Mzee Moris Nyunyusa!Sie Twalialia wenzetu TANESCO washawekeana Mkataba Umeme Ushaingia Grid ya Taifa Muda!Wamwaika Kama Ulanzi wa Ifunda!Symbion ya wamarekani wana Tenda Kibao za Kazi za Umeme na Kuajiri mafundi hadiHela za MCC zarudi US Kinamna!
Loh!Hadi Mama Clinton Kaja Ujue hiyo ni Ngoma Inagile,Mmarekani huwa Habahatishi anajua anachikifanya!
Labda Kilio Kihamie kwenye Kupinga Tuzo yaDowani!
Bora sasa nguvu tupeleke kwenye harakati za elimu ya Uraia na Ujasiriamali na Kilimo kwa ajili ya tonge la ndugu zetu!
Mie Mwa-Mkweche ni 'Mgaya sida na Ni Mnyamumu'
 
Nifafanulie huyo Anko. Sam ni nani? Alifikiri ni waarabu hao? Wao wanafanya project analysis na hawataki ubabaishaji.

Mkuu,

Anko Sam ni jina jengine la marekani kama umekaa US kidogo haraka sana utakumbana na jina hili. Pia Wamarekani sio kama wachina wanataka utaratibu unaoeleweka kwani wanalinda reputation yao. Tatu kuna tetesi Symbion wametolea nje 10% (kuna thread imeanzishwa kuhusu hilo jambo hembu fatilia), hilo litawakoroga wale waliotaka kupewa 10% yao kwa kazi waliofanya. Wazungu wanapenda utaratibu wa kueleweka na sio ubabaishaji kama wahindi , wachina na waarabu.
 
Good.Nna uhakika sasa mitambo itawashwa na umeme tutapata. Huyo kaja kuhakikisha kweli ipo? kabla ya kusaini check la umeme kutoka Millennium Fund.
 
Good.Nna uhakika sasa mitambo itawashwa na umeme tutapata. Huyo kaja kuhakikisha kweli ipo? kabla ya kusaini check la umeme kutoka Millennium Fund.
Nasikia wamesini mkataba wa muda wa muda, siyo mbaya bora ubabaishaiji usiwepo na watu wanufaike na mkataba huo. Pamoja na hayo yetu macho.
 
ha ha ha haaa. Marekani sio wajinga. Na tripu hii si ya kiasiasa bali ni kibiashara zaidi na ndio maana porojo sio nyingi saana. Wengi mnakumbuka mgogoro wa ununuzi wa ndege za Atcl namna Marekani walivyokuwa wanapambana na china kushinda tenda ile tena bila rushwa. Wanajua fika kuna opportunity, juu ya umeme. Sasa wafanyaje? Umeme watauleta lakini sio bure. Si mmeona anapiga debe umeme utakuwa nafuu.
 
Huyu mama ataichafua serikali yake sasa hivi.
Dowans imeishachafuka sana toka wakati wa richond mpaka sasa,
arrangements zake zote zimetapakaa rushwa na ufedhuli.

Rais wetu alisema hamjui mmiliki wa dowans wao symbions
wamenunua hiyo mitambo kutoka kwa nani?

Kwanza nadhani laana ya vilio vya watanzania tayari inawatembelea
sababu siku ya tatu leo dar es salaamu iko gizani, hapa
Magomeni umeme ndo umerudi dakika ishirini zilizo isha toka
asabuhi, hali iko namna hii toka ijumaa.
 
Naunga mkono hoja haukukuwa na umuhimu wa yeye kutembelea mitambo, licha ya kuhalalisha ununzi huo pia ni kuziba midomo ya waandishi wa habari na wananchi waliokuwa wanabeza kuhusu ubora wa mitambo hiyo.

kwa hiyo wabongo kwa kifupi hamtaki umeme mmeshazoea giza nafikiri maana kila kampuni mnalalamikia
 
kwa hiyo wabongo kwa kifupi hamtaki umeme mmeshazoea giza nafikiri maana kila kampuni mnalalamikia
Wabongo tunahitaji sana umeme lakini shida ni utekelezaiji wake ndiyo unakuwa umejaa mawenge aka mawaa kama vitambulisho vya bongo vinavyozungumziwa.
 
Leo Hillary Clinton ametembea iliyokuwa mitambo ya kuzalisha umeme Dowans na hatimaye Symbion. Swali langu, je hili ni juhudi za kutuziba mdomo watanzania kuhusu uhalali wa mkataba huo?
Source TBC1 20:00 Habari.

Symbion wana mkataba mkubwa wa kusambaza nyaya za umeme Tanzania haswa vijijini chini ya MCA (millenium challenge acct) inayodhaminiwa na US, so mama kaja kuangalia pesa za walipa kodi wao zimefanya nini kwani TZ ni moja ya nchi zilizopewa kiasi kikubwa cha pesa hizo na ndio maana JK alikuwa akienda US mara kwa mara, next time fanya utafiti b4 posting
 
Huyu mama ataichafua serikali yake sasa hivi.
Dowans imeishachafuka sana toka wakati wa richond mpaka sasa,
arrangements zake zote zimetapakaa rushwa na ufedhuli.

Rais wetu alisema hamjui mmiliki wa dowans wao symbions
wamenunua hiyo mitambo kutoka kwa nani?

Kwanza nadhani laana ya vilio vya watanzania tayari inawatembelea
sababu siku ya tatu leo dar es salaamu iko gizani, hapa
Magomeni umeme ndo umerudi dakika ishirini zilizo isha toka
asabuhi, hali iko namna hii toka ijumaa.

Dowans haijachafuka, wachafu ni wapinga Dowans.
 
Symbion wana mkataba mkubwa wa kusambaza nyaya za umeme Tanzania haswa vijijini chini ya MCA (millenium challenge acct) inayodhaminiwa na US, so mama kaja kuangalia pesa za walipa kodi wao zimefanya nini kwani TZ ni moja ya nchi zilizopewa kiasi kikubwa cha pesa hizo na ndio maana JK alikuwa akienda US mara kwa mara, next time fanya utafiti b4 posting
Sihitajiki kufanya utafiti huo unaosema, mimi numemuona huyo mama Clinton akikagua mitambo ya Dowans ambayo imenunuliwa na hao Symbion. Kama wana mkataba nashukuru Mungu watu wa vijijini nao watapa ahueni.
 
Interview on Africa 360

Halafu cheki link hii na ujionee tofauti ya waandishi wetu wa habari na wa nchi nyingine!
Hapo Hillary alikua akihojiwa na mwandishi pale Lusaka, jamaa alimchemsha mama wa watu kweli kweli.

Nimejiuliza hivi kuna mwandishi yeyote wa Tanzania ambaye anaweza kumwuliza mama huyu kama Bwana Chris Maroleng?!?!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom