Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda


We Matola, acha kuwasema wenzako vibaya hivyo, MUNGU HAPENDI.........
 
 
hiki kikongwe kilipewa madaraka only for conviniency. Hakina loloto kwanza hakina afya kabisa-- what a useless scrap!!!
thanks jk for the news. Yalishaanza kusemwa mengine humu. Kumbe mbeya bado hawajachafuliwa. Big up to them.
 
Hiyo ni Mbeya ya wapi, kama si vijijini ambako waliofika wameenda kushangaa sura tu ya babu huyo. Mimi niko Mbeya, wala hakuna hata vuguvugu kwamba kiongozi mkubwa wa HADHI YAKE kuwapo hapa jijini. Hakuna lolote ni wo wo wo tu.
 
Kuna threadi hapa inasema ZIARA MBEYA YA DR. BILALI YA DODA na hii DR/ BILALI ATUA KWA KISHINDO
which is which nisaidieni hapo

Usiishie kusome titles tu soma na michango utajua ipi ya kweli...ni hoja against viroja
 

Hata nafasi ya urais, jaji mkuu, waziri mkuu, spika, uwaziri, ukuu wa mkoa, wilaya zimegeuka kuwa ceremonial tu. labda wakurugenzi wa wilaya, maana ndiyo hao waziri mkuu na kamti zao za bunge zinawatwisha lawama za kutowajibika. the rest of all positions ni ceremonial tu.
 


Mtanzania umaskini wake haundolewi kwa kutujazia ukurasa mzima wa Cv's za mtu, bali watu wanataka positive results, kama yeye ni mtalaam wa nyuklia sisi tunahitaji mtaalamu wa kuondoa umaskini basi. nukta.
Swali hivi unaijuwa elimu ya Jacob Zuma Jayzee?
 
Mwenekiti wenu alikiita ni chama cha msimu,leo mnashindana nacho eti kujaza watu mikutanoni ???,nazidi kuamini nilifanya chaguo sahihi Novemba,.Tuko gizani,mfumuko wa bei juu,maji safi hakuna,shule mbovu,...sijui mlitaka madaraka ili mfanye nini?? Au mshindane kubadili suti..
 
Sasa amekuja kama Makamu wa Rais au kama Mgombea Umakamu wa Rais au kama Mmoja wa viongozi wa CCM?

  1. Kama amekuja kama Makamu wa Rais, basi naye fisadi mkubwa na hii ni dharau hata kwa Watanzania....! Iweje akatumia magari ya serikali, mafuta ya serikali, posho za serikali, ulinzi wa serikali, na jina la serikali huku akiitangaza Chama Cha Mapinduzi? Pengine naye amechanganyikiwa na walaki wake....!
  2. Kama amekuja kama Mgombea Umakamu wa Rais, basi sawa, lakini acheni kutishia nyau, maana tunafahamu kuwa kila walipokuwa wakipita wanakuwa na "the comedy", na viburudisho vingine, pamoja na usafirishaji wa watu kutoka sehemu za mbali kufika pale....!
  3. Kama amekuja kama kiongozi wa CCM, basi wamechanganyikiwa sana hawa....! Nchi yetu inakabiliwa na mfumuko wa bei, mgao wa umeme, nk. lakini wao badala ya kufanya kazi hizo walizoomba, bado wananadi chama chao....! Basi ni dhahiri kuwa hawakufaa kupewa nafasi hiyo....!
 
makamu wa rais toka wakati wa kampeni hajavaa tena magwandaya chama na vilevile ana body guard siku hizi.wewe jk huna hata haya kusema uongo wa namna hiyo?
yaani unaidhalilisha nchi yetu makamu wa rais alindwe na kibabu kilichochoka namna hiyo?
kweli ccm ina wenyewe
 
Kiongozi waulize maana kama alienda kwa safari yake kifamilia sidhani kuwa aliwaambia waende, hili ni swali la kujibiwa na TISS
 
Ni ngumu kushindana na UKWELI ambao wewe mwenyewe unaujua vilivyo moyoni mwako!!
 
Pamoja na kutangaza kwa siku 2 kila mtaa wa jiji la mby watu hawakujitokeza kumpokea vp dr. Bilal, hii inaashiria nini?

Wanyakyusa na wasafwa hawana unafiki. Wamefanya kile kilichomo moyoni. Kwa ufupi ni kwamba wameikana sisiem na mambo yake yote na kazi zake zote, basi hakuna cha zaidi.
 

You are right! Jingine ni upigaji picha tu. Focus ya kamera inaweza wafanya watu waonekane wengi kumbe wachache. Ujanja huo wameutumia sana TBC wakati wa kampeni. Walichokuwa wakikifanya ni ku-focus mhutubiaji na waliomzunguka tu kuonesha watu wachache kwenye mkutano and the vice versa.

All in all wingi wa watu si hoja, hoja ni je hao waliopo hapo wanaelimu kiasi gani kuhusu haki zao za msingi.
 


ivi walibaki kufanya kazi au
 
 
ivi walibaki kufanya kazi au

Unajua wananchi sasa wanajitafutia maendeleo na hawako ki mikutano mikutano, kwa hiyo walibaki kuchapa kazi kama walivyokuwa wametangaziwa na wanasubiri kwa hamu sana kanda mpya za maneno yasiyo na vitendo baada ya pasaka wakati CDM watakapozindua albamu yao katika mikoa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…