Ziara ya Dk Slaa Unguja yadoda mno

Ziara ya Dk Slaa Unguja yadoda mno

Status
Not open for further replies.
Mbona picha hizo sio za kweli?? Dr Slaa aliumia mkono wakati wa kampeni za uchaguzi wa 2010,
 
Mkuu chama,

Wakati mwingine inabidi mtu ushangae tu Chadema na Zenji wapi na wapi.

Dr. Slaa kavaa baraghashia ili iweje.
Ritz, wakati mwingine uwe unaushughurisha ubongo wako! kwani baraghashia ni miliki ya watu fulani tu?
 
pipozi pawa mdogomdogo inaijongea znz;safi sana.
 
Kitila, Una maana gani kusema kuwa hao watu ni wengi sana na wanatosha? Wewe ni DK tena wa CHUO KIKUU. sikutegemea uje na kauli inayoacha maswali mengi

wengi ni kuanzia wa 3,wewe ulitakawa wahudhurie wangapi?Tupe idadi
 
Waliofika hapo ndiyo wenye kutaka mabadiliko na hili ni baraza la katiba si mkutano wa kampeni .Ulitakaje ?

Kiongozi!

kama wagombea wa Uwakilishi Zanzibar wanachaguliwa na watu 900-1200, hiyo idadi ya walio hudhuria ni kubwa sana kwa Zanzibar. Kwa tunao iunga mkono CHADEMA, hilo ni pigo takatifu kwa MAHAFIDHINA wa CCM. Ukizingatia hakuna kusombwa na mang'ombe (daladala) na pia hakuna vidole juu!!
 
Mie nimeuliza kwa ni njema tu.
Hujawahi kuwa na nia njema katika maisha yako yote! wewe ni fataani uliyekubuhu! Wala sijui huko masijid huwa unaenda kufanya nini! nadhani ni mazoea tu ndio hukupeleka huko!
 
Ilikuwa na watu wachache sana.
haikuwa na shamra shamra na watu wengi hawakuhamasika

807915.jpg


2082989.jpg

baadhi ya wananchi wa zanzibar wakimsikiliza Dk Slaa

Ustaadh Wilbroad Slaaa... Akivaa Lowasa hehehehehhe.. Huyu sasa padri..
 
Well said! Dr. Kitila Mkumbo! Huko zanzibar ni suala la muda tu! Time will tell! Dhambi ya kumfukuza Mansour Yusuf Himid itawatafuna mmoja baada ya mwingine!
 
thread za kipumbavu zilizo letwa na matahira ya ccm sasa iko page ya nne ingeihusu ccm hata kama ni ukweki mleta mada angeshapokea pm za maonyo na thread ingekuwa imenyofolewa..hongereni mods
 
Hujawahi kuwa na nia njema katika maisha yako yote! wewe ni fataani uliyekubuhu! Wala sijui huko masijid huwa unaenda kufanya nini! nadhani ni mazoea tu ndio hukupeleka huko!
Siku zote ukiandika huku umehamaki akili inahama, hebu tulizana kunywa fundo tatu za maji ya uvuguvugu kila rudi ukumbini tujadiliane, poleni sana kamanda.
 
thread za kipumbavu zilizo letwa na matahira ya ccm sasa iko page ya nne ingeihusu ccm hata kama ni ukweki mleta mada angeshapokea pm za maonyo na thread ingekuwa imenyofolewa..hongereni mods

Fanya kazi kwa bidii ujenge nchi yako. Acha porojo.
 
Watu wengi sana!! Sikutegemea kama Dr Slaa anakubali hivyo Zenj. Peopleeeeees poweeeeeeer
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom