Acha ulaghai. Hapo hakuna mwanamke hata mmoja.
Watu wanaojua tamaduni za Zanzibar wanafahamu unapoita watu halafu asije mwanamke hata mmoja maana yake ni nini.
Kwa lugha nyepesi - he was seen as a joke.
Ilikuwa na watu wachache sana.
haikuwa na shamra shamra na watu wengi hawakuhamasika
![]()
![]()
baadhi ya wananchi wa zanzibar wakimsikiliza Dk Slaa
Kwa Zanzibar hao watu ni wengi sana na wanatosha kabisa.
Sijui anaafuata nini kwenye nchi ya watu....
Kitila, Una maana gani kusema kuwa hao watu ni wengi sana na wanatosha? Wewe ni DK tena wa CHUO KIKUU. sikutegemea uje na kauli inayoacha maswali mengi

Hana mvuto tena kwa wananchi kama hali ilivyo kwa chadema nzima. Chadema wasome nyakati.Ilikuwa na watu wachache sana.
haikuwa na shamra shamra na watu wengi hawakuhamasika
![]()
![]()
baadhi ya wananchi wa zanzibar wakimsikiliza Dk Slaa
Hana mvuto tena kwa wananchi kama hali ilivyo kwa chadema nzima. Chadema wasome nyakati.
Ilikuwa na watu wachache sana.
haikuwa na shamra shamra na watu wengi hawakuhamasika
![]()
![]()
baadhi ya wananchi wa zanzibar wakimsikiliza Dk Slaa
Kitila, Una maana gani kusema kuwa hao watu ni wengi sana na wanatosha? Wewe ni DK tena wa CHUO KIKUU. sikutegemea uje na kauli inayoacha maswali mengi
Ilikuwa na watu wachache sana.
haikuwa na shamra shamra na watu wengi hawakuhamasika
![]()
![]()
baadhi ya wananchi wa zanzibar wakimsikiliza Dk Slaa
mbona mapadri hawavai na tunawaona wanasikilizwa?