Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Zanzibar katika mkutano wa kuomba udhamini wa fomu ya Uraisi katika Mkutano uliofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti mjini Zanzibar
tarehe 8/8/2010!
Baadhi ya Wananchi waliofika kiwanjani wakimsikiliza Dk. Slaa.
Source: Blog Archives - wavuti.com
chama, hizi ni picha za mkutano wa kampeni uliofanyika
mwaka 2010 mwezi wa nane...sasa hapa kuna mtihani;
limau kaleta jamvini picha za uongo na misukule ya CCM kama
chama inatoa nakala kwa
Ritz! Nadhani kabla ya kuendelea zaidi kuna umuhimu wa kutunza heshima ya huu ukumbi wetu tunakoshindia baada ya kuhangaika juani. Swali kwa mods; hali hii ya kuzusha mambo imekuwa ikiongezeka kwa kasi ya ajabu na nyie mmeamua kulifumbia macho,
je kulikoni? Hili
Chungwa, samahani
limau lipewe haki yake na misukule nayo ipewe onyo kali...
upuuzi/ujinga katu usipewe nafasi jamvini, ni hilo tu...
cc:
Kitila Mkumbo,
limau,
chama/
Ritz,
ZeMarcopolo
cc:
Moderator ,
Invisible,
Paw