Mnyampaa msingida
Senior Member
- Aug 5, 2013
- 180
- 54
Siku zote shetani akiwa anatafuta wafuasi wake hujivisha umbo la binaadam ili afanikishe jambo lake. Siwezi kumshangaa padri slaa kwa hicho kikofia chake
dr slaa aende kuiba wake za watu badala kupoteza muda kwenye siasa. Hapo nitamuunga mkono
Mag3chama, hizi ni picha za mkutano wa kampeni uliofanyika mwaka 2010 mwezi wa nane...sasa hapa kuna mtihani; limau kaleta jamvini picha za uongo na misukule ya CCM kama chama inatoa nakala kwa Ritz! Nadhani kabla ya kuendelea zaidi kuna umuhimu wa kutunza heshima ya huu ukumbi wetu tunakoshindia baada ya kuhangaika juani. Swali kwa mods; hali hii ya kuzusha mambo imekuwa ikiongezeka kwa kasi ya ajabu na nyie mmeamua kulifumbia macho, je kulikoni? Hili Chungwa, samahani limau lipewe haki yake na misukule nayo ipewe onyo kali...upuuzi/ujinga katu usipewe nafasi jamvini, ni hilo tu...
![]()
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA Dk. Wilbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Zanzibar katika mkutano wa kuomba udhamini wa fomu ya Uraisi katika Mkutano uliofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti mjini Zanzibar tarehe 8/8/2010!
![]()
Baadhi ya Wananchi waliofika kiwanjani wakimsikiliza Dk. Slaa.
Source: Blog Archives - wavuti.com
cc: Kitila Mkumbo, limau, chama/Ritz, ZeMarcopolo
cc: Moderator , Invisible, Paw
Mkuu vipi mbona umeingiwa na woga?kwanini unaogopa kukamuliwa hilihali wewe ni limau?jaribu kama utaweza
hivi wazanzibar jumla yao ni wangapi??
Mwakilishi wa baraza la wawakilishi huchguliwa na jumla ya wapiga kura wangapi??
Ngoja nobrowse sensa ya 2012; kulikuwa na malalamiko kuhusu uwiano wa uwakilishi kati ya majimbo ya bara na ya zanzibar huku ikionekana mbunge wa bara huchaguliwa kwa kura hadi 3m huku kule zanzibar akichaguliwa kwa kiwango kidogo hadi laki moja kitu ambacho kinaleta maana ukiona uchache wa waliohudhuria mkutano wa dr. Slaa.
Mwakili au mbunge kwa zanzibar yaweza kuwa sawa na diwani interms of kura na idadi ya wapiga kura,ndio maana hapa kuna watu wachache.
Mkuu chama,
Wakati mwingine inabidi mtu ushangae tu Chadema na Zenji wapi na wapi.
Dr. Slaa kavaa baraghashia ili iweje.
Kwa Zanzibar hao watu ni wengi sana na wanatosha kabisa.
Ritz, mtu uliyejaa fitna, hila na uzandiki unawezaje kujadiliana?Siku zote ukiandika huku umehamaki akili inahama, hebu tulizana kunywa fundo tatu za maji ya uvuguvugu kila rudi ukumbini tujadiliane, poleni sana kamanda.
kwa nini umshangae? Kwani haruhusiwi kuvaa hicho kikofia? Kweli ubinadamu kazi!Siku zote shetani akiwa anatafuta wafuasi wake hujivisha umbo la binaadam ili afanikishe jambo lake. Siwezi kumshangaa padri slaa kwa hicho kikofia chake
ameanza kuishiwa nini mkuu?Slaa ameanza kuishiwaa sasa
Kwanza hiyo kofia imekuwa kama kaweka bakuli kichwani sijui kichwa chake kipoje.kwa nini umshangae? Kwani haruhusiwi kuvaa hicho kikofia? Kweli ubinadamu kazi!