Zekidoni & Khantwe

Kweli ukimchunguza sana bata hutamla,kula bata umefumba macho
 
asee mkuu Viol huyo atoto hafai kabisa... kuna ule uzi wake wa HUU NDO MSIMAMO WANGU... kajieleza asivyo wife material..

hapo juu nimeandika kama sehemu ya majibu ya uzi wake..
Hakuna mwanamke mwenye msimamo, mbele ya mwanaume mwenye akili.
ndiyo maana nikamwambia msimamo wake utategemea sana mhusika wa wakati huo..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengu huyo atoto sijamsoma kivile mbona unanipa majaribu ya ndoa za mikeka.

ni suggestions yenye maana sana.
na imani niliyonayo..
Msimamo wa KE ni driven na nature ya ME..
 
Last edited by a moderator:
ni suggestions yenye maana sana.
na imani niliyonayo..
Msimamo wa KE ni driven na nature ya ME..

Umeanza kuleta theory zako za kinanihii hapa.....bahati yako Ntuzu ananiangalia hapa ningekupa desa
 
Last edited by a moderator:

mpw na atoto.. nae tupo single ila ajiandae kuchunwa mwanzo mwisho..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…