Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Kama kuchepuka Alianza kuchepuka mama yetu mzazi! Mimi na mwallu na Honey Faith na Yule mcharuko wa Viol Yani Heaven Sent ni weusi tiiii! Lkn wewe tu Ndio uliozaliwa MUHINDI !!!!!
Yaani mdogo wangu kazi ipo hapa
Yani nadhani nimeishatangazwa huko hadi basi.Hadi nimeanza kuona aibu yani huyu kaka basi tu!!!
Mtasema sn Lkn kunibandua kwa wifi yenu hamtoweza!
Na Huyo Honey Faith namuangalia tu! Juzi tu alikuja kwangu kadundwa na kamme kake hakampi ata matumizi nikampa ATM card yangu moja awe anachota pesa Kutoka GGM
I see..........
Mimi Ndio baba yenu msimsikirize Huyo shangazi yenu Ana matatizo ya kupoteza kumbukumbu!
Hahahahahaaa....hii inaitwa mahaba nivuruge. We miss neddy a k a muhindi tulia usilete fujo la sivyo tutakurudisha kwenu ohooo
Mie jina nitatoa tuu...sina tatizo. Ila sina uhakika biological father atakua Viol Zekidoni au wewe...cc Khantwe. Honey Faith miss neddy
Wasiojua limbwata ndo hii.
I see..........
Wasiojua limbwata ndo hii.
Zekidoni akisikia hapa lazma ajiibishe hata kabla hujamwiba! lol..
Umeulizwaaa...???
Fafanua unataka kuelewa nini tcha wangu?