Zekidoni & Khantwe

bimkubwa naomba nisikilize ujue bila kiwatengu kina shangazi wasingetuita sisi wakimbizi, baba saizi anadai kina ant watajiju na ukoo wao unaona kafanya jema? labda nikae na wewe mom utuambie baba yetu ni nani na yuko wapi?

We mtoto umekua eeeh? Au kwa sababu ninachokifanya na baba yako na wewe unakifanya na mumeo ndio maana unaona tuko sawa? Baba yako humjui wewe?
 
Last edited by a moderator:
We mtoto umekua eeeh? Au kwa sababu ninachokifanya na baba yako na wewe unakifanya na mumeo ndio maana unaona tuko sawa? Baba yako humjui wewe?

heeee mummy usiwe mkali hivyo, dada kauliza tu
 
umeshinda wapi mamy, Dogo nataka tuwe na maongezi na mom ukiwa na muda nambie kuna jambo linaniumiza, tuko wawili tu mwenzangu tukae chemba tuzungumze...

aaanhaaaa kweli inabidi tuongee
 
We mtoto umekua eeeh? Au kwa sababu ninachokifanya na baba yako na wewe unakifanya na mumeo ndio maana unaona tuko sawa? Baba yako humjui wewe?

mom umenikwaza unamtetea kiwatengu nikahisi basi una ujua ukweli...sipendi nigombane na wewe mama nisamehe kama nakukwaza..
 
Last edited by a moderator:
mom umenikwaza unamtetea kiwatengu nikahisi basi una ujua ukweli...sipendi nigombane na wewe mama nisamehe kama nakukwaza..

Mimi sijamtetea nimesema mwombee....sawa my douta yameisha mama sawa eeh?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…