Zekidoni & Khantwe

umemuuliza Eli79 kama kamaliza sabuni... kwani alikuwa anafua nini?

We nawe mbona hivyo? Umenielewa tofauti.....amesema hataki aliyeachika ndo namuuliza kwani ile kitu ni sabuni kwamba anaogopa kuchukua iliyoisha?
 
Last edited by a moderator:
mmmmmhh umemtukana mama mkwe wangu tusi kubwa hivo? Viol fanya mpango mkeo apunguze hasira..

Hapana kwa kweli. We mwenyewe ni shahidi mama mkwe wako alivyo na michepuko heeee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…