Zek Group to contruct $33m worth shopping mall in Dar

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,007
Zek Group to contruct $33m worth shopping mall in Dar

By HAMISI ALLY
THE EAST AFRICAN

Posted Saturday, December 27 2008 at 11:22

ZEK Group International, a Tanzanian property development firm, will construct a $33 million shopping complex in Dar es Salaam.

The Dar es Salaam Village project, to be completed next June, will be the second largest shopping mall in the country after the Mlimani Shopping Complex owned by the University of Dar es Salaam and an investor from Botswana — and will have 37,000 square metres of shopping space.

Kenya-based giant retailer Nakumatt Holdings Ltd will occupy 10,000 square metres and will be the main occupant of the complex.

Zadock Koola, chairman of ZEK Group, told The EastAfrican the mall will be constructed in three phases.

The first phase, consisting of the mall, will accommodate the Nakumatt store, and the second phase estimated to cost $17 million, will have mixed retail space and a hotel, while the third phase will have residential houses.

The project developer said while the project was still in the first phase of construction, with about 80 per cent of the space already booked by tenants from both within and outside Tanzania.

The Minister for Lands, Housing and Human Settlement Capt John Chiligati said the government has set aside over $18 million for the construction and improvement of the road network around the up-coming complex to eliminate traffic congestion and as a sign of government goodwill towards the investment. He added, “A mistake was made when the government allowed informal settlements to take root on the road reserve; measures will be taken to taken to rectify this.”

ZEK Group International was founded over 20 years ago in Tanzania with operations in several African countries and has interests in real estate, communications, advertising, public relations and other media.
 
Very good indeed.

Out of curiosity, wamiliki wake ni kina nani ?
 
Zek Group to contruct $33m worth shopping mall in Dar

The Minister for Lands, Housing and Human Settlement Capt John Chiligati said the government has set aside over $18 million for the construction and improvement of the road network around the up-coming complex to eliminate traffic congestion and as a sign of government goodwill towards the investment. He added, "A mistake was made when the government allowed informal settlements to take root on the road reserve; measures will be taken to taken to rectify this."

.

Hii project inafanyika sehemu gani ya Dar....Mbezi Kimara?....Tegeta?....Mbagala?....au hii itawekwa maeneo ya Manzese?
 
mikocheni hiyo next to ttcl and the mistake they are referring to is Rose Garden Bar..its only a matter of time till that bar is gone...serikali yetu kwa kweli haieleweki walilinda bar chafu RG kwa muda mrefu badala ya kusupport investment ya 33million usd!! ndo hii serikali itatutoa kwenye umaskini lol
 
Sipati picha kwenda kwenye hiyo Malls zao hapo karibia na Rose Garden kwani sasa tu Foleni yake si mchezo.

We don't have City Plana at all despite ya kuwa na Maafisa Mipango Miji wa Jiji na Nchi kwa Ujumla
 
Habari nzuri, lakini kuweza kukodi sehemu ya duka katika hizo malls ni ghali sana, hata wateja wa kawaida tu wanapotembelea sehemu kama hizo wanashindwa kununua vitu kwa ughali wake, hawa Nakumatt Holdings kule Kenya wameweza kupata wateja wengi kwa sababu tofauti ya bei kununua kwao na maduka madogo ni ndogo hapa tz tofauti ya bei ni kubwa katika maduka ya malls na madogo ya nje kama kweli Nakumatt wataweza kufanya kama kwao basi itakuwa ni ukombozi kwa wateja kupata mahitaji kwa bei ya kawaida.
 
What happened?.............Nilipita pale jana majani kibao......lile si eneo la TTCL sasa kama uwekezaji umeshindikana what happens next?
 
mkuu hii thread ilianza wakati fulani na ikachangiwa sana.. nimetafula sana ile link, [pia ilizungumzia taa za barabarani jamaa alizoweka kwenye garden rd. nk] sijaiona

i think the project has stalled... for whatever reasons known to themselves
 
Na yule Zadock YUKO WAPI SIKU HIZI?
 
Zek Group to contruct $33m worth shopping mall in Dar

By HAMISI ALLY
THE EAST AFRICAN

Posted Saturday, December 27 2008 at 11:22

ZEK Group International, a Tanzanian property development firm, will construct a $33 million shopping complex in Dar es Salaam......

size]

Mkuu hii project imesimama muda sasa, haieleweki chanzo ni nini! Lakini kikubwa ni namna serikali ilivyoshindwa kumng'oa Mlatie na baa yake ya Rose Garden baada ya maelezo ya Chiligati kuhusu upanuzi wa barabara hiyo.
 
Sipati picha kwenda kwenye hiyo Malls zao hapo karibia na Rose Garden kwani sasa tu Foleni yake si mchezo.

We don't have City Plana at all despite ya kuwa na Maafisa Mipango Miji wa Jiji na Nchi kwa Ujumla
kwa definition ya jiji kwa planners wetu nikuwa jiji lazima uwe mji uliojengwa holela. Chunguza majiji yote ya tanzania.
 
The Minister for Lands, Housing and Human Settlement Capt John Chiligati said the government has set aside over $18 million for the construction and improvement of the road network around the up-coming complex to eliminate traffic congestion and as a sign of government goodwill towards the investment. He added, “A mistake was made when the government allowed informal settlements to take root on the road reserve; measures will be taken to taken to rectify this.”

Hapo kwenye nyekundu, waziri ametambua na kujaribu kupata ufumbuzi kwa jambo ambalo Dr Magufuli alilitupilia mbali kwa sababu ya urafiki na rushwa. Watetezi wa Mangufuli haya...
 
Hahaaaaaaaa nadhani wangetambua ni wakandarasi bora wangempa MCHUBANGA CO. kwani ni kampuni inayokuja kasi kweli nadhani wakitangaza tenda za ujenzi basi atakamata tenda hiii , wajasiliamali ndio nafasi zao wajenzi wakitokea basi wao wanakamata nafasi
 
Back
Top Bottom