Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 343
thanks mag3
is utamu the biggest ever crime commited by a tanzanian?
watu wa JF kwa double standards wanashabikia zeutamu kukamatwa na wakati watu wana loot nchi yetu wanatembea huru, ingekuwa hivyo wakina-obama, bush si wangekamata watu wengi sana.....
wangeshirikiana na interpool kuhakikisha hela zilizokuwa duabi, jerzey na kwinginepo zinarudi TZ ingekuwa ni jambo la maana kulikoni zeutamu
zeutamu ulikuwa ni mtambo wa tabia na watu wengi waliokuwa mule wali deserve kuwa mule
hasara ya zeutamu kwa TZ nini????
kumbuka walianza na mwanahalisi, siku hizi ukiwaandama wanakuuliza kwa nini wasikufungie uliza ITV
mkishabikia zeutamu kukamatwa, baadae mjiandae kushabikia website zingine maana yake hawataishia hapo tu
baada ya zeutamu who is next????
zeutamu ujue sio kila mtu anakuchukia na ningekuwa na uwezo ningekukingia kifua........
Lakini inasemakana hajakamatwa wakuu, sasa sijui ukweli ni upi?
Khaa! Mbona mlisema 'mtoto wa mkubwa'? Mimi mbona huyo Lusinde ndio namsikia kwa mara ya kwanza? Ni mkubwa wa wapi?
thanks mag3
is utamu the biggest ever crime commited by a tanzanian?
watu wa JF kwa double standards wanashabikia zeutamu kukamatwa na wakati watu wana loot nchi yetu wanatembea huru, ingekuwa hivyo wakina-obama, bush si wangekamata watu wengi sana.....
wangeshirikiana na interpool kuhakikisha hela zilizokuwa duabi, jerzey na kwinginepo zinarudi TZ ingekuwa ni jambo la maana kulikoni zeutamu
zeutamu ulikuwa ni mtambo wa tabia na watu wengi waliokuwa mule wali deserve kuwa mule
hasara ya zeutamu kwa TZ nini????
kumbuka walianza na mwanahalisi, siku hizi ukiwaandama wanakuuliza kwa nini wasikufungie uliza ITV
mkishabikia zeutamu kukamatwa, baadae mjiandae kushabikia website zingine maana yake hawataishia hapo tu
baada ya zeutamu who is next????
zeutamu ujue sio kila mtu anakuchukia na ningekuwa na uwezo ningekukingia kifua........
...
A lesson to all you internet thugs and cyberbullies out there, the watcher is watching.
Invisible,
Familia yake haina "hiari" ya kukubali iwapo mtoto wao ashtakiwe au asishtakiwe. Kumkashifu KIONGOZI wa NCHI ni kuikashifu NCHI yenyewe! Alivuka mipaka, he knew the risks and consequences. After all, NOBODY is above the law, even the President!
./Mwana wa Haki
... and we're cyclically watching the watchers too!!
Tatizo umri wako mdogo, muulize Baba Desi atakueleza huyo Lusinde ni nani. Wewe huoni kuna majina mawili makubwa hapo- Malecela + Lusinde?
Pleease,
You are not even class monitor, let alone internrt thug/ cyberbully.
Well behaved contrarians (if there is such a thing) need not be concerned.
si ameshatajwa hapo juu au??Mimi huwa na pita pita humu kupata habari nyeti lakini si mchangia mada. Lakini sijapendezewa na huu mtindo wa kuto taja majina especially kwa watu kama Zeutamu walio umiza watu wengi kwa kutumia mtandao vibaya. SASA MIMI NINAWEKA JINA LAKE HAPA KUMALIZA MZIZI WA FITINA. JAMAA ALIYEKAMATWA NI:
MALE LUSINDE YES I SAID IT!!!!!!!!!!!!!
next time lets just do what we do yaani "where we dare to talk Openly"
si ameshatajwa hapo juu au??
shukrani mzee...Kaka alipost kabla thread haijakua updated
1. even the radar mastermind is a tanzanian with british citizenship. before making any noise about citizenship go clean the house of parliament first (check if everyone is a tanzanian).Your argument is weak.Two wrongs do not make a right. We do not want British citizens (of Tanzanian origin or not) to fling unchecked and rampant numerous unfounded character assasination on Tanzanians.
...bingo!
SteveD said:....maskini Yo Yo... daah!!
1. even the radar mastermind is a tanzanian with british citizenship. before making any noise citizenship go clean the house of parliament first (check if everyone is a tanzanian).
2. I am worrying about the real assasination (looted billions) and not character assasination. I am not loosing any sleep over character assasination.