Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,987
- 142,350
- Thread starter
-
- #481
Wakimfungulia mashtaka, wataipeleka ile picha kama kithibitisho? Si itakuwa kumdhalilisha tena mkuu wa kaya?
Amandla........
Court proceedings zitakuwa closed kwa media...
karibu sana JF.G'luv
G'luv has no status.
Junior Member Join Date: Wed May 2009
Posts: 3
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Credits: 6,560
Na haya mambo eti zeutamu ni mbaya nani kasema?Ushindwe na ulegee uwe mlegevu.....
Sasa na wewe ongeza thanks hapo zifikie 47
Na haya mambo eti zeutamu ni mbaya nani kasema?
hey people just speak ur minds.....nani alikuwa haipendi zeutamu muwe wa wakweli tok moyoni mwenu.....zeutamu ni shujaa mfano wa kuigwa na kila mtu alimpenda kuweni wakweli.....
.....wengine mnataka kupata ujiko ati mlimuandikia email ya kumfundisha kazi zeutamu....kila mtu sasa anataka kutokea kwa zeutamu....aah ati nilimuonya ZEUTAMU umuonye kwa lipi baya aiseee?
Haa haa haaa! Sasa huyo aiseee ni nani? Halafu kumbe ukiwa mule Keko unaweza kuchungulia kidogo? Nilidhani utahitaji muda kuyapitia mabandiko ili ujue kilichojiri, maana huwa nasikia tu kwamba watu wakitoka humo hata lugha inakuwa ni ya zamani hivi; kipindi walipokuwa huru 😀....kila mtu sasa anataka kutokea kwa zeutamu....aah ati nilimuonya ZEUTAMU umuonye kwa lipi baya aiseee?
arrrg watu wanataka kuchukua sifa kupitia zeutamu......wapi bana ati email ya kumfundisha kazi......alafu anakupa nyingine ati wametajwa woote waliokuwa wanatuma picha.....watu bana.....ha ha ha..he he he..naona unatamani kurejea lupango weye..
arrrg watu wanataka kuchukua sifa kupitia zeutamu......wapi bana ati email ya kumfundisha kazi......alafu anakupa nyingine ati wametajwa woote waliokuwa wanatuma picha.....watu bana.....
ha!ha!ha! Yo Yo karibu tena jamvini,habari ya selo mkuu? tuli kumiss sana.Naona umekuja na nguvu mpya ya kumsafisha jamaa yako teh teh teh.Kwanza naomba muondoe hizo thnks 46 so far
NB:Na huu uzushi kwamba nilikuwa banned umetoka wapi?
unaujua ukali weye?Ok tuseme yote unayosema ni sahihi..swali linalonijia kichwani ni hivi kwanini umekuwa mkali sana na hii ishu ya zeutamu?
hapana mkuu sikuwa selo....iwas vacation kwa muda....ha!ha!ha! Yo Yo karibu tena jamvini,habari ya selo mkuu? tuli kumiss sana.Naona umekuja na nguvu mpya ya kumsafisha jamaa yako teh teh teh.
NN ANZISHA THREAD YA KUMKARIBISHA YO YO
unaujua ukali weye?
nasikiishwa na habari za kuzushiana JF......wewe mpemba una udhibitisho zeutamu ni peter malecela?...wekeni udhibitisho kuwa zeutamu ni mplusinde.....ndio maana nauita huu uzushi na muanzisha thread anafaa kushitakiwa kortini...
Hakuna haja ya kujaza thread za kuwakaribisha watu ambao wapo. EL na Andrew walipokaribishwa kwa mbwembwe majimboni mwao baada ya kujiuzulu, watu humu JF walipiga kelele kuwa wananchi hao walifaidika na ufisadi ndo maana waliwapokea mafisadi kwa maandamano. Leo hii mtu anatoka ban eti aanzishiwe thread kumkaribisha!! Kumkaribisha maana yake ni kwamba alionewa, na kama alionewa umemwambia/umelalamika chochote kwa Mod?NN ANZISHA THREAD YA KUMKARIBISHA YO YO
dizaini utakua shori alafu umepigwa buti hivi karibuni sasa hasira unazileta JF....nani kakuambia nilikuwa banned?Hakuna haja ya kujaza thread za kuwakaribisha watu ambao wapo. EL na Andrew walipokaribishwa kwa mbwembwe majimboni mwao baada ya kujiuzulu, watu humu JF walipiga kelele kuwa wananchi hao walifaidika na ufisadi ndo maana waliwapokea mafisadi kwa maandamano. Leo hii mtu anatoka ban eti aanzishiwe thread kumkaribisha!! Kumkaribisha maana yake ni kwamba alionewa, na kama alionewa umemwambia/umelalamika chochote kwa Mod?
coz bro if u were not ungeanza kuchangia hiii mada tangu day one ,maaana unaonekana una jazba na umekuja na ajenda moja tu ni kumsafisha ze utamu na umaluuuni wake. kuwa family friend ndio nini bana kama mie family friend wa Liyumba au balali basi nimteteee tu kwamba sio fisadi kisa ni mai furendi aaaagh hursh babuuu.dizaini utakua shori alafu umepigwa buti hivi karibuni sasa hasira unazileta JF....nani kakuambia nilikuwa banned?
ubaya wa zeutamu ni upi? usiniambie nika google au unipe link....sema wewe ujuavyo ubaya wa zeutamu ni upi?coz bro if u were not ungeanza kuchangia hiii mada tangu day one ,maaana unaonekana una jazba na umekuja na ajenda moja tu ni kumsafisha ze utamu na umaluuuni wake. kuwa family friend ndio nini bana kama mie family friend wa Liyumba au balali basi nimteteee tu kwamba sio fisadi kisa ni mai furendi aaaagh hursh babuuu.
muulzie huyo invisible anaesema alimuandikia email zeutamu.....Unataka kujua mtu aliyepagawa na ishu ya zeutamu? Chukua kioo halafu kiweke mbele yako..huyo unayemuona ndio mwenye kupagawa na ishu ya zeutamu.
BTW, mimi ni miongoni mwa walioamini, mambo yenu ya zeutamu nitayajulia wapi? Waulize wajuvi wenzako..