MwalimuZawadi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2007
- 643
- 69
I could be wrong but I think the government has a weak case here. If the guy gets a good, aggressive lawyer he will win the case if he were to be charged.
Hehehehe unajua za mwizi arobaini. Alijisahau akajiona bingwa sasa analao kageuka zeuchungu hehehehehehe.
Ngoja nikafundishe mimi, kabla ya kuanza mgomo vere soon. Hivi hii nguvu ya kumtafuta mtoto wa Balozi Job Lusinde - Malecela si wangeitumia kwenye zile kesi za kuibiwa hela ambazo ushahidi upo kwamba hela hazipo? Mkuu NN haka ka nchi haka kana taabu nyingi ila wewe umehitimisha kuwa miafrika ndivyo ilivyo
So do you agree with that kind of reasoning?
I neither agree, nor disagree.I have a totally non-Euclidean approach.
Ni yeye mwenyewe aliyekuwa mjinga na kuacha tracks zake hovyo hovyo. Hata kabla ya hii habari ya yeye kukamatwa watu walikuwa wameshamjua yeye ni nani zamani.....
Ni yeye mwenyewe aliyekuwa mjinga na kuacha tracks zake hovyo hovyo. Hata kabla ya hii habari ya yeye kukamatwa watu walikuwa wameshamjua yeye ni nani zamani.....
Kwa hiyo ina maana unamponda kwa sababu ya kuacha tracks zake hovyo?na sio matendo yake mabaya aliyokuwa akiyafanya?
hata hivyo watu wengi hapa inaonyesha wameshtushwa sana na kukamatwa kwa huyu jamaa mnae dai kuwa ndie mmiliki wa Zeutamu.
Dah! Wageni wengi sana leo 🙂
Currently Active Users Viewing This Thread: 193 (57 members and 136 guests)
Well, mtu unapoamua kuwa na liblogu kama hili halafu unaliendesha kwa kutumia utambulisho wako wa kweli, sidhani alikuwa mjanja. Kuhusu matendo yake, well nawaponda yeye pamoja na mafisadi wote wanaoiangamiza Tanzania akiwemo raisi Kikwete ambaye na yeye ni fisadi vilevile. And I dare them to come and get me if they can
True,
Huyu bwana aliacha track zake sana kwenye blogu yake ya rudepichaz, tena kwa initials zake za mplusinde!
Mkuu Inaonyesha huyu jamaa alikuwa anapendwa sana.Pia kuna wengine wanasherekea huko mitaani
Kuwa na wageni wengine wanaosoma thread ya nani ze utamu haimaanishi kupendwa.Its just curiosity kujua who was behind such obscene thing..nashindwa hata jina la kuipa! Mimi binafsi I always thought blog hiyo ni ya ka- adolescent ambaye anababaika bado na balehe! Kumbe ni jibaba lenye akili timamu! SHAME! I PRAY THAT SIYO YEYE JAMANI!
hhahaha WoS bana....yaani kama huamini amini kuwa mtu at 39 anaweza kufanya hayo....habari ndo hiyo!